Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
hellow wadau , mimi na tatizo la la kisheria linalonisumbua n kwamba kuna jamaa ambaye ni business partener wangu na nahish nae hapa dar, tunafanya biashara pamoja zaid ya miaka minne sasa ila...
Naomba msaada wa charter iliyoestablish chuo cha ESAMI, na je kuna limitation yoyote kwenye kufungua madai yanayotokana na breach ya contract, do a person need to get a waiver before instituting...
hivi inaweza mtoto kuwa na majina mawili tu na asiwe na surname. sheria za tanzania zinasemaje? yaani lets say mtoto anaitwa jacob ww unaitwa ladislaus surname massawe. je mtoto anaweza kuitwa...
Charles Ghankay Taylor arrest.
Freetown, Tamba Ngaujah has little doubt who was behind the Revolutionary United Front rebels who, 20 years ago, gave him "short sleeves".
"They put my arms...
WanaJF naombeni msaada wenu, ni sheria gani inayoyataka makampuni yote nchini kuorodhesha share zake DSE..? Ntafurahi zaidi mkinasaidia na possible sections za hiyo sheria. Asanteni.
The EAC integration process in my view shud be the medium for promotion and protection of Human rights.Why is it taking so long to negotiate the draft protocol on human rights?In globalised world...
Pamoja nakuwa sijui sheria za misri zinasemaje, lakini naona kama ni vigumu kwa jaji ku-implicate mtu kama amesababisha vifo vya watu katika vurugu hizo. Mens rea na identification ya aliowahukumu...
ndugu wanaJF naomba mnisaidie kuhusu sheria za kazi zinasemaje kwa hii tetesi ninayo isikia,.Mimi ni mtumishi wa MAMLAKA YA RELI YA TANZANIA NA ZAMBIA(TAZARA) ambapo kwa kipindi kirefu sana...
A Catholic Christian Masanja Hamis, 27 yrs of Kahama Parish, Kahama Disrict, Shinyanga region in Tanzania, on 31st Oct, 2011, was imprisoned for 4 monthsbeing accused of slaughtering animals for...
x, alifungua kesi ya kuvunja ndoa mahakamani kwa madai ya kupigwa, na mahakama baada ya kusikiliza pande zote mbili ikaona kuwa mdai ameshindwa kuthibitisha dai lake, hivyo ndoa haikuvunjwa...
Kutokana hukumu mbalimbali ambazo imeamuliwa na mahakama ya mwanzo na baadae kukatiwa rufaa ambayo itampatia mrufani ushindi Itakuwaje kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo alietoa hukumu?Sheria...
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili suala: binti kuolewa akiwa na umri kati ya miaka 14-15 na mwanamume mwenye umri sawa na baba yake kwa sheria za Tanzania zinasemaje?
Habari wanajanvi. Ningependa kujua kama dhamana ile ambayo inatolewa mahakaman kwa minajil ya kumwachia mfungwa kwa muda, hv huwa inarudi baada ya kesi kupata hukumu? Au huwa hairudi? Kwa mfano m2...
Jaji aliyepangiwa ...Kusini na Mashariki zote zinalingana,
Dhamana: Mawakili wa "Lulu" wawasilisha maombi; Kusikilizwa Ijumaa, Januari 25
21/01/2013
0 Comments
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar...
Kuna hili swala watendaji wanapita kwenye biashara za watu kudai hiyo service rev(wanavidai ni karibisha mteja, pale naposema mteja karibu basi lazima nilipie kwa mwaka hiyo karibisha mteja) sasa...
Wapendawa wanasheria wa JF naomba muipitie hukumu hii ya Mheshimiwa muone aliyokuwa akiyasema Tundu Lisu. Tuainishe mapungufu/nguvu (weakness/strength) ya hukumu hii, bila kutukana bali kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.