Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini za asubuhi
bunge la juzi tuliona marekebisho ya sheria ya kuajiri mahakim waliohitim chuo kikuu kuendesha kesi katika mahakama za mwanzo lakini kabla ya marekebisho hayo tayari serikali...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema kuwa mahakama imeelemewa na mzigo wa kesi kutokana na uhaba wa majaji na mahakimu.
Amesema kuwa mahakama inakabiliwa na changamoto ya...
Kwa walicho fanya viongozi wa chadema kutoa namba ya simu kwa raia na kuwataka wawatumie sms za kujiuzuri . Hakuna sheria yakuwa shtaki kwa kosa lakutoa namba bila hizini
Jerry Muro kortini tena *Kesi aliyoshinda kusikilizwa upya Mahakama Kuu
Na Rehema Mohamed
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajiwa
kuanza kusikiliza rufaa ya Serikali dhidi ya...
Habari za kazi wanasheria WA HUMU JF
Shida yangu ni je, katika sheria za kazi kuna kipengere kinachomruhusu mwajiri hawastaafishe wafanyakazi walioko katika mkataba wa kudumu na hawaingize katika...
Habari wana Jf! Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nimeajiriwa miaka 3 iliyopita! Toka mwaka jana/oktoba, faili langu ktk ofisi za DED (MKURUGENZI) halionekana! Nimerudia mara 3 lakini...
linnah amekua akipost sana status zake kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania loans society kuwa yeye imemsaidia sana kimaendeleo hasa kwenye facebook amekua akipost sana status za kusaport...
Ndg zangu.siku za hivi karibuni watanzania tumeshuhudia mwenendo mbaya wa bunge letu kiasi cha baadhi ya watu kutumia maneno ya kashfa na matusi wanapo Adress bunge. mfano ni michango ya watu...
Nimejaribu kufanya tathmin ndogo ila nimegua kesi nyingi hatari zinaishia vituo vya police kama vl ubakaji, ujangili, n.k
Kwan polisi wamekuwa mahakimu wa kesi nying!!!
Swal kuna haja ya kuwa na...
Jamani naomba kama kuna mtu ana nakala ya marekebisho ya ya sheria yaliyopitishwa na bunge letu tukufu jana tarehe 08.02.2013.
Najua JF ni Jungu Kuu hivyo sina shaka document itapatikana...
Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote...
Daniel nsanzugwanko wiki mbili zilizopita,akiwa na Nape Nauye apa kasulu mjini. Aliwambia wananchi kuwa kesi yake ilichakuliwa koti kuu na mahakama ya rufan na ata mahakama ya rufani. Alisema kuwa...
Hivi watanzania hatuna sheria tunayoweza kutumia kumkataa spika?Nauliza hili kwani pesa zinazotumika kuwalipa mishahara na posho ni kodizetu lakini kazi wanazofanya Bungeni hazina manufaa kwetu
Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika...
Jana February 6, 2013 ilikuwa Siku ya Sheria na theme ilikuwa Utawala wa Sheria. Sherehe hizo ambazo ziliongozwa na Rais Jakaya Kikwete zilihudhuriwa na Jaji Mkuu, Mohamed Chade Othman, Waziri wa...
Mimi nimwajiriwa katika kampuni mojakubwa hapatanzani iliyoko arusha tatizolinakuja kwenye kukatwa mshahara kwakiwango kikubwa sana kulinga nisha na mshahara unakata masaa kwakiwango malipo ya...
[
Akina mama walikokuwa katika sherehe hiyo wakitahamaki baada ya kachero wa polisi kujitambulisha
….Binti huyo (kushoto) akiwa chini ya ulinzi wa polisi akitolewa ndani na kuingizwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.