Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
....Kuna bwana mmoja kanunua shamba jirani yetu!mipaka iliyokuwepo tangu awali sikuwahi kusikia tatizo la mipaka.baba yangu alifariki july,ss huyo jirani mama yake ambaye alikuwa mmiliki...
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo...
ALHAMISI, FEBRUARI 14, 2013 05:40 KULWA MZEE NA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM
*Asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar
*Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho...
MCHUNGAJI wa Kanisa la PAGT, Isaya Rutta (52), mkazi wa Kijiji cha Katoro, Wilaya ya Geita, mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchinja ng'ombe mmoja na mbuzi wawili...
Wanawake, watoto na mabinti visiwani Zanzibar wanadaiwa kupigwa picha za ngono za video za kuwadhalilisha ambazo husambazwa kwenye mitandao ikiwamo ya simu.
Vitendo hivyo vya udhalilishaji wa...
Source majira
Katika hari inayoelekea kujitungia sheria kulingana na matwakwa ya pande anayoamini yeye either kwa kushauriwa au kwa matakwa binafsi mkuu wa Wilaya Ya Temeke bi Sofia kaamuru...
Wana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo?
Nawasilisha.
Chanzo: TBC usiku...
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo...
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mfaranyaki iliyopo Manispaa ya Songea, Theresia Fuli anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumjeruhi kwa kumngata ulimi hadi kukatika wifi yake kwa wivu wa mapenzi...
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 6 jela, Abdallah Mzombe (39) baada ya kupatikana na hatia ya kumuibia rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan...
Mimi habari za saa hii!
Hope mko poa.
Nataka kuattend a certain conference in us, via a company.
Je ni documents gani muhimu zinahitajika,na ni vitu gani nitimize ili niweze pata visa?
Na visa...
Rais kikwete amemteua jaji mujulizi aloys kuwa m/kiti tume ya marekebisho za sheria. Kabla ya hapo alikuwa chuo cha mahakim lushoto. Kama mtakumbuka wakti wa kesi ya mh lema. Alikataliwa na wakili...
Za asubuhi waungwana, hivi karbuni nilisikia kwenye radio(sikumbuki ni redio station gani)ya kwamba nchi yetu inareview sheria ya ndoa ili kuwalinda mabinti wenye umri chini ya miaka 18. Naomba...
Hivi raisi anapoteua jaji anakua anamfahamu au anateua kwasababu katiba ina mpa mamlaka? Nakama ni kweli mbona kwenye case ya lema chande alijitoa akidai anintres na case.
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala nchini Uganda, wameilalamikia Serikali ya Tanzania kwa kulitoza Sh3 milioni basi lao kwa madai ya kuzidisha uzito lilipopimwa kwenye mizani wakati likitokea...
nimharibiwa siku yangu yote, asubuhi wakati naenda kazini nikaona niingie sheli tabata kujaza mafuta, wakati nataka kutoka barabarani basi la wafanyakazi la polisi lenye namba PT 0242 likiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.