Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

matukio ya hivi karibuni ya mauaji yanayohusishwa na udini,vurugu na mauaji ya watu wasio na hatia kama ya mwangosi,mauaji ya huko morogoro,singida na sasa vurugu za mtwara na matukio mengi ya...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Salma Said, MAHAKAMA ya Wilaya ya Mwanakwerekwe imeombwa kuifuta kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kutokana na kuchukua muda mrefu kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sheikh Ponda Issa Ponda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepokea silaha mbalimbali yakiwamo mapanga, visu, majembe, sufuria, makoleo na sufuria kama kilelezo katika kesi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama katika mji wa Toronto nchini Canada imetoa hukumu ya kihistoria ambayo huenda ikazusha mjadala mkubwa kuhusiana na biashara kongwe kuliko zote duniani, "biashara ya ukahaba". Hukumu hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mke wangu ameajiriwa kampuni moja hapa Dar, mwajiri anaiendesha atakavyo. Haya ni baadhi ya mapungufu: 1) Hamna mikataba ya kazi inayotolewa 2) malipo ni kiduchu mno na Hakuna makato ya kodi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sheria na haki ya kuleta gari tz sijaielewa. Mie nataka kuleta gari ambayo nimeikimiliki miaka 3 sasa. Na ninampango wa kununua ingine nilete mbili kwa mpigo. Nataka kuzitumia kibiashara. Je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KESI YA SHEKH PONDA JANA Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
UPANDE wa Mashitaka katika rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa Aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji (TBC) Jerry Murro aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kuomba rushwa ya Sh milioni 10...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ninafuatilia kwa karibu kuhusu sakata la TFF, Jana Tenga alinukuliwa akisema kwamba hakukuhitajika watu kukusanyika kuipitisha Katiba ya TFF kwani teknolojia ya kisasa inaruhusu hivyo...kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Breaking news kutoka MBEYA: Mwanamke aliyekuwa akimlisha mtoto kinyesi ahukumiwa kifungo cha maisha
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ni sheria gani inasema dini hii ndo inaruhusiwa kuchinja mnyama fulani ndipo aliwe na watu wote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naja kwenu kwa msaada wa kisheria. Mie mwajiri alisitisha mkataba wangu kinyume na taratibu kwa sababu hakufuata taratibu wala sheria za kazi. Baada ya kuona hivyo nilienda baraza la mapatano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
last week nili drive kutoka dodoma kuja dar cha ajabu askari wa usalama barabarani wenye tochi walikuwa wengi mno hadi unashindwa ku enjoy drivin. wakati nakaribia mikese kuna kibao cha 50km/h so...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana mmoja aitwae jimmy,alikuwa anaitaji kujifunza sheria kwa mwanasheri akiwa hana pesa ya kughalamia malipo ya ada, akaomba ajifunze kwa mkataba kwamba atalipa hiyo pesa iwapo akimaliza na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JOPO la Majaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki, limemwamuru Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kujibu hoja zilizowasilishwa mahakamani hapo na Anthony Komu (CHADEMA) ndani ya siku 15 na...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna watu wanasema ya kwamba, Spika na Naibu wake wachukue hatua za kisheria dhidi ya viongozi wa CHADEMA kwa kutoa namba za viongozi hao wa Bunge, jambo lililopelekea viongozi hao wa Bunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilimshuhudia Mchungaji Christopher Mtikila akimwambia askari aliye kuwa akitaka kumkamata kuwa hawezi kukamatwa na askari huyo kwakuwa cheo chake (huyo askari) ni kidogo na askari...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
plz JF help me to understand this; for what i know other laws emanate after the constitution come into operation, therefore constitution of TZ was supposed to be the first act to be enacted and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Jamani nahitaji ushauri wa kitaalam, Nimeolewa ni miaka mingi sasa, ila kwa bahati mbaya Mungu hajatujaalia kupata watoto wa ndoa. Lakini mume wangu yeye anadaiwa kuwa na mtoto kabla ya ndoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom