Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kama mtu amekopa kiasi flani cha hela na akaweka thamana kitu chochote kile na mkakubaliana kuwa arejeshe hela hiyo baada ya muda flani. Kama atashindwa kurejesha ndani ya muda mliowekeana, je ni...
wAKUU MWENYE KANUNI ZA SHERTIA YA "THE COURTS (LAND DISPUTES SETTLEMENTS) ACT, 2002" (THE COURTS (LAND DISPUTES SETTLEMENTS) REGULATIONS 2003, KATIKA SOFT COPY.
NaOMBa tafadhali adondoshea hapa...
Jamani wanajukwaa naomba kama yupo mwenye data cd ya kitabu cha laws of tanzania anipe au mwenye link ya bure (free download) ya laws of tanzania anitumie hiyo link au bookmark kwenye email box yangu.
Wadau naomba msaada wa kisheria juu ya mtu anapokutuhumu mbele ya jamihi kwa kashfa kama ya wizi,ubadhirifu na uzembe wakati hana ushahidi,tuhuma hizo zimetolewa kwa maneno!je nikitaka kuanza...
kuna kipindi cha wanawake laivu niliona siku moja, kuna ushuhuda wa mama mmoja alihojiwa hadi kiria akatoa mchozi.....kwa wale walioona na kusikia watakumbuka hili, ndo nilijiuliza hawa madoctor...
Ndugu wanajamii wenzangu wapenda haki, naombeni ushauri wenu kumsaidia mdogo wangu aliyenusurika kubakwa na vijana watatu.
Kwa kifupi suala liko hivi, mdogo wangu alitumwa kwenda mashineni kusaga...
Law of Mother Earth sees Bolivia pilot new social and economic model based on protection of and respect for nature.
Bolivia is to become the first country in the world to give nature...
Wana Bodi,
Nahitaji msaada wa kisheria hasa kuhusu Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini. Kama wewe ni mzoefu/wakili ambaye umebobea kwenye eneo hili la migogoro kazini tafadhali ni-pm tuendelee.
Ndugu wanajukwaa, ardhi kwa Tanzania ni mali ya umma (yetu sote) na ipo chini ya usimamizi wa Rais. Mtu akipatiwa kipande cha ardhi, anapata haki ya kukitumia kwa muda usiozidi miaka 99. Nionavyo...
Wakati Jairo, Msabaha, Karamagi na wengine wengi tu mpaka leo hii wanadundika mtaani na kula kuku kwa mrija.. Soma hii iliyotokea kenya.
A Nairobi court has sentenced two former tourism...
LEARNED BRO AND SISTERS! Ndugu zangu, katika miaka ya 1990 ilitokea kesi moja mkoani Rukwa ambapo kuna mbwa alikuwa anaitwa IMMIGRATION. Idara ya uhamiaji ilifungua kesi mahakamani kwamba idara...
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mke wa mmoja wa washtakiwa aliokuwa akisikiliza kesi yao...
The four Bulgarians accused of stealing money from Automated Teller Machines (ATM) were on Monday rearrested and sent to the Central Police Station.
There was drama at the Buganda Road court...
15.09.2012 Akiwa na askari mwenzake na mgambo wawili, walikuwa kazini wakifanya msako maeneo ya KASOMERI SENGEREMA, waliibukia kwenye kundi la watu walikuwa wakiandaa na kunywa pombe ya moshi au...
Ni sheria gani zinazozuia Tanzania kupata access ya generic medicines? and then if there is a currently negotiation regarding intellectual property and their impact in access to medicines...
Wana jamvi nahitaji msaada wenu kwa hili.
Jamaa yetu mmoja (mtingaji mgodini) leo hii kapata kisago kisa hakufika kazini kwa siku mbili.
Kabla ya kujitetea alipigwa na kiongozi wake ambae ni...
..Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi...
Wadau nahitaji msaada wa mawazo ya kisheria.
Nina mtoto mmoja ambaye baba yake hatupo pamoja kwa sasa na hataki kukubaliana na ukweli,kila siku anakaa akijua ya kuwa tutakuwa wote for the sake of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.