Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
21.-(1) A police officer or other person shall not, in the course of
arresting a person, use more force or subject the person to greater indignity
than is necessary to make the arrest or to...
Wadau hivi sheria au miongozo ya wizara ya utumishi inasema nini kuhusu mshahara wa mwajiliwa wa serikali pindi akipewa ruhusa na mwajili wake ili ahudhurie mafunzo ya muda mrefu shuleni?Je hana...
Wadau!
Katika miaka ya hivi karibuni ilianzishwa bodi kwa ajili ya kuangalia mishahara sekta mbalimbali hapa nchini na kazi yao ya kwanza ilikuwa mwaka 2010. Tokea kipindi hicho mpaka leo mbali...
Usiku wa kuamkia leo, huko Iringa sehemu za Kihesa katika gesti fulani kuna mzee amekutwa na mtoto wa miaka 14. Wateja waliokuwa ndani ya gesti hiyo hawakupendezwa na kitendo hicho cha kinyama...
Wakuu naomba nipate msaada wa kisheria inapotokea mtu kakaosa chuo wakati anasoifa na hapewi mkopo wakati anavigezo vyote vya kupata mkopo?Wakati nimetumia gharama nyingi kufanya maombi hayo na...
Aeshy Hilaly Halphany amekata rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge wa Sumbawanga mjini (CCM) katika mahakama kuu jijini D'salaam badala ya Sumbawanga. Jana hukumu haikusomwa kutokana na mapungufu ya...
Wanajamii,
Mimi ni mfanya biashara maeneo ya Arusha. Nimekuwa nikipewa vitisho vya kila aina hasa vya kupigwa risasi siku yeyote, nikariport police, ila nilichoambiwa kwa kweli kinakatisha tamaa...
Kesi ya "Lulu" Jaji awahoji Mawakili: "Mmeleta kesi hii Mahakama ya Rufani ili iweje?"
18/09/2012
Elizabeth Michael "Lulu" akiwa eneo la mahakama jana (picha: DarTalk.com)
MAPITIO ya maombi ya...
Wana jf kwa yeyote anayefahamu sheria au utaratibu wa parking, nauliza hivyo kwa sababu hapa Aarusha naona kuna watu wanalazimisha wizi wa mchana kwa kutoza parking kando ya highway yaani kando ya...
Naombeni mnisaidie nukta hizi 2:-
1) Ni kipi kisichotakiwa kwa vijana ambapo kimo katika katiba ya sasa
2) Ni kipi kiwemo ktk katiba ijayo chenye maslahi kwa vijana.
Ndugu wana JF,
kila mtu hapa anafahamu fika kesi inayomkabili Samsom Mwigamba kuwachochea Polisi wasitii maagizo ya kijinga kutoka kwa wakuu wao, badala ya watu wenye akili timamu kumpongeza...
WADAU, Mara baada ya mgomo wa madaktari, serikali iliwafutia usajili/vibali madaktari hao na hiyo kupelekea vijana kukosa kazi mahali popote pale. Hivi hili suala kisheria limekaaje? ina maana...
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, mkoani Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Joshua Nassari, ameshikilia msimamo wa kupiga marufuku Mwenge wa Uhuru kufika jimboni...
*Ni baada ya kushindwa kufika mahakamani
*Anakabiliwa na shitaka la kufanya vurugu
MAHAKAMA ya Wilaya Hai, mkoani Kilimanjaro, imetoa hati ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Wana JF,
NI uciku wa jana, rafiki yetu na ndugu yetu dereva wa pikipiki A.K.A. bodaboda, alitekwa na majambazi akanyang'anywa pikipiki yake, alipoenda kutoa taarifa kituo cha Polisi Mabatini...
jamii ya kitanzania inatakiwakuelemishwa jinsi sheria zetu baadhi zinavyokinzana zenyewe, mfano katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inampa mtanzania HAKI YA KUISHI ,ukirudi kwenye SHERIA...
Taarifa zisizo rasmi zinasema, mmiliki wa vyombo vya habari Tz ameamriwa kulipa Bilioni 5 za Tz,kwa kesi aliyomshitaki blogger huko UK,
Taarifa bado ni za usiri sana,
UPDATES:
Tanzanian...