Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Monday, 08 November 2010 21:16
Tausi Ally
UPELELEZI wa kesi mbili za kula njama, kuiba na kutakatisha fedha haramu ikiwemo yenye thamani ya Sh3.8 bilioni, inayomkabili Mhasibu wa...
Two people were on Friday sentenced to 20 years in jail each after the Bunda Resident Magistrate Court in Mara Region found them guilty of killing a zebra and for entering the game reserve...
Mwandishi wa habari wa Channel ten
mkoani Iringa Daudi Mwangosi afariki
dunia katika vurugu zilizojitokeza baada
ya polisi kuingilia mkutano wa operesheni
mabadiliko m4c ya CHADEMA.
Chanzo ITV
Assalam 'Alaykum. Leo napenda na mimi nizungumzie machache kuhusu ukweli juu ya SENSA iliyofanikiwa kwa kiasi kikubwa kama wasemavyo wengine (hata humu pia wamo).
Mambo mengi ambayo yanayofanyika...
Zanzibar WITH tourism developing into a big business in Zanzibar, residents near the beaches have raised concern over westerners and even Africans looking to get a bit of sunshine by resting...
Nasikiliza sasa hivi hotuba ya Mh,Rais kuhusu mpaka kati ya Malawi na Tanzania ndipo nilipoingia kwenye google nilichokiona kimenishtua kidogo hebu chungulia na wewe urudishe hapa majibu.
hivi jamani hawa traffic watakula hela zetu mpaka lini,kwann usitafutwe mfumo wa kuripa faini za barabarani kwa mfumo wa electronic,basi hata kama nifaini za papo kwa papo basi receipt ziwe...
Kuna jamaa kanipigia simu sasa hivi kuwa kuna jambazi anachomwa, maeneo ya Tegeta (mkanada).Kwa waliopo maeneo hayo naomba watujuze zaidi.
Uptodate:
Watu wa ITV washafika eneo la tukio...
Rais amewataka watu wote watakaoshindwa kuhesabiwa mpaka siku ya mwisho ya sensa, wapeleke taarifa zao kwa viongozi wa maeneo yao ndani ya siku saba ili taarifa zao zipelekwe panapohusika. Baada...
Kwa takribani kama siku tano hivi, maeneo mbali mbali wilayani kinondoni hasa mapori ya madale karibu na magereza ya boko, kulifanyika bomoabomoa ya wavamizi iliyosimamiwa na mkuu wa wilaya na RPC...
JESHI la Polisi limeingia katika kashfa nyingine tena, baada ya askari wake kuwaua kwa risasi watu wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa katika vurugu zilizozuka wakati wa jaribio la kuwaondoa...
Wadau,
Wote tunafahamu kua wapo watu ambao wamefikishwa mahakamani kwa kugoma kuhesabiwa.
Pia wote tunafahamu kua muda wa kuhesabiana ulikua ni wiki moja (ambayo labda inaisha leo).
sasa kama...
Hauna maana.Kazi yetu ni kutuna tu na mabegi yaliyosheheni nyaraka za kulinda wezi. Hapa Arusha(kwenye mkutano wetu wa Mawakili) hakuna la maana tunalolizungumza zaidi ya kutambiana kwa matumizi...
Ndugu zangu WanaJF,
Kwa siku za karibuni viongozi wengi wa CCM kuanzia wa Wilaya na mikoa mpaka Taifa wamekuwa wakitumia umiliki wa Freeman Mbowe ukumbi wa Bilicanas kama kete ya kuchafuana...
Naomba Mamlaka zinazohusika zifuatilie tabia ya Kampuni hii na nyinginezo ya kuendelea kukata malipo ya ku download muziki mfululizo kana kwamba maombi hayo ni ya kudumu. Huu ni wizi wa...
Naomba tu ufafanuzi kwenu wadau,
Nchi yetu leo ina miaka 50 ya uhuru lakini bajeti yake inategemea misaada na haiwezi kujiendesha bila misaada toka nje.
Angola wamepigana vita miaka ishiri leo...
SENSA YA WATU NA MAKAZI YAMWACHISHA KAZI SHEKH WA WILAYA YA MBARALI MKOANI MBEYA
SHEKH Yassin Bambala wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya amevuliwa wadhifa huo kwa kosa la kuhamasisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.