Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ni moja ya maeneo ambayo katiba mpya inabidi iyaangalie kwa makini sana.Kamati izi kusema ukweli zimekuwa zikitumika visivyo.Kamati izi kwanza zimekuwa zinatumiwa na wajumbe au jamaa zao...
Jumatatu, Agosti 27, 2012 06:33 Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, anatarajia kuhukumiwa leo mahakamani...
..Guys,kupata LL.M udsm qualifctns ni 3.0 GPA kwa alomaliza LL.B ya pale UDSM,but 3.8 GPA kwa mwenye LL.B from other Universities! Does ths imply that a 3.0 GPA from UDSM SCHOOL OF LAW ni sawa na...
Vigogo Bodi ya Mikopo (HESLB), wanakabiliwa na tuhuma nzito za ubadhilifu wa fedha kwa kujilipa mishahara minono na matumizi mabaya ya madaraka huku mmoja wao akidaiwa kuajiri ndugu zake 11...
Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao.
Mwanamke...
Hii nchi ni yetu na si nchi ya watawala.Kila mtu katika hii nchi anahaki ya kukutana na wenzake sehemu yoyote panapostahili hata kama jambo si la msingi.Watu wanahaki kutoa maoni kwa njia yeyote...
Tue, Aug 28th, 2012
Tanzania |
The census exercise went on smoothly in Kilimanjaro Region despite leaflets suspected to have been distributed by some members of Islamic extremist group...
Kuna haja ya kuunda mahakama maalum(International Criminal Tribunal for Tanzania "ICTT") itakayosikiliza kesi mbalimbali za mauaji/kujeruhi na vitisho yaliyofanywa wakati wa Vuguvugu la mabadiliko...
25th August 2012
Wananchi washiriki bila wasiwasi
Watakaovuruga kukiona cha moto
Jeshi la Polisi nchini limesema litapambana na kuwachukulia hatua kali watu watakaojihusisha kuvuruga...
Halo watanzania wenzangu Mimi ni mwalimu nafanyakazi mkoa wa Lindi tena wilaya ya Lindi vijijini nasikitika kwamba mwajiri wangu amenikata mshahara kwa sababu za mgomo wa walimu uliopita.
Inaniuma...
Serikali yawaangukia Waislamu
• Walimu 108 waenguliwa kwenye semina ya Sensa Dar
na Waandishi wetu
Tanzania Daima
WAKATI shinikizo la baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu...
SATURDAY, AUGUST 25, 2012
SHEKH Yassin Bambala wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya amevuliwa wadhifa huo kwa kosa la kuhamasisha waumini wa dini ya Kiislam kususia zoezi la Sensa ya watu na...
Kumekuwa na mvutano wa maneno kutoka kwa viongozi wa serikali na viongozi wa kidini.... dini ya kiislamu, katika kijiji cha DONGOBESH mkoani manyara wilaya ya mbulu, watu wamekuwa wakitishiwa na...
nani aliekuwa anajuwa kama Picha iliobandikwa ktk magazeti ya TANZANIA DAIMA, NIPASHE NA UHURU kuhusu macahfuko ya Zanzibar ni propaganda?
Mara tu baada ya picha hiyo kubandikwa, nilifungua redio...
Mauwaji ya kutisha yamefanyika katika kijiji cha Baranga wilaya ya musoma vijijini kata ya buswahili tarafa ya kiagata baada ya watoto wawili wa familia moja wakiwa na umri wa miaka 5 na 7...
Naomba kujuzwa ni details gani hasa zinaandikwa kwenye kitambulisho cha taifa?. Makarani wa sensa ambao kimsingi ndio makarani watakao andaa orodha ya wakazi wa mtaa orodha itakayotumika kuandaa...
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, leo watazungumzia hatua ilizofikia katika uchunguzi wa tukio la kutekwa, kuteswa na kutupwa katika Msitu wa Pande kwa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari...
Nina ndugu yangu aliolewa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Mume hakuwa na hata senti pindi wanaoana. mwanamke alianza biashara ya mtumba ndipo wakapata mtaji mwanaume akaanzisha biashara sitaitaja ila...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiandaa kugombea sensa ya makazi na watu
huku wangine wakisema kuwa haina tija kwa taifa na kwa yeye binafsi. Napenda kuwapa
onyo kwa wote ambao wanampango wa...