Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mapigano yanayoendelea katika wilaya ya Ngorongoro kati ya Wamasai na Wasonjo yamefikia sehemu mbaya, chanzo kikubwa ni kuuliwa kwa kijana wa kisonjo katika kijiji cha Sonjo na hivyo kuzua...
Wakuu wana JF wakati nikiwa natokea Mabwepande kumsabahi jamaa zangu mida ya saa 11:30 jioni nilikuta tingatinga likivunja nyumba za Watanzania ambao walivamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya...
Hivi Jamani Nisaidieni,Kwamba ndio njia ya kulazimisha Kujipatia Pesa au ndio staili gani? Wabunge Wetu,Mnasemaje kwenye hili mbona mko kimya? Ni Hivi sasa hivi kumezuka utaratibu mtu ukienda TRA...
Rais Jakaya Kikwete, amemteua Winfrida Beatrice Korosso, kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria nchini.
Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni...
Kuna bomoa bomoa kubwa imefanyika kule salasala eneo la benaco...inasemekana wavamizi walivamia eneo hilo bila kuwa na vibali vya kulimiliki...wito wangu kwa watanzania wenzangu acheni kuvamia...
Sensa ya mwaka huu imejaa griba na ubabaishaji mwingi. leo hii yamebaki masaa machache ya kuanza zoezi lenyewe lakini cha ajabu vifaa bado havijakamilika, sehemu ya malipo ambayo makarani...
Haki za binadamu na haki za watoto zinaendelea kupiga hatua mbele. Mahakama ya Cologne nchini Ujerumani imehukumu kuwa kumtahiri mtoto wa kiume ni kukiuka haki za binadamu. Mahakama hiyo inasema...
Waziri wa uchukuzi Dr Mwakyembe ameagiza kamati ndogo aliyoiunda ichunguze mikataba ya TICTS na bandari kuona kama bado ina tija kwa taifa au la. Kumbuka kuwa moja ya wanahisa na wamiliki wa TICTS...
Kwa Dar imekuwa ni kawaida kwa waendesha pikipiki a.k.a.bodaboda kutokufuata maelekezo ya taa za barabarani, wao wanachomoka jinsi wanavyotaka, iwe taa zimeruhusu kwenda kwingine ama la mara na...
Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17.
Fomu hii kwa mujibu wa Election...
Police warn agitators
By The guardian team
25th August 2012
As Muslim sects circulate leaflets calling for boycotts
On the eve of the national population and housing...
Wadau,
huduma zetu hizi hapa:-
1. vifaa vya radio vya aina mbalimbali tunauza.
2. Ufundi wa vifaa vya radio.
3. ushauri wa kitalaamu juu ya kuanzisha radio.
4. Kusimamia mwanzo hadi mwisho...
Dada yangu ni fundi sanifu maabara (Lab. technician) katika hospitali ya Wilaya X, miezi sita iliyopita aligundulika kuwa na TB, alitibiwa na kupona, baada ya hapo alichukua hatua ya kudai fidia...
Naona kuna zengwe jingi na mikwara kibao, baina ya watawala na kundi fulani la kijamii kuhusu kuhesabiwa na kutohesabiwa.
Naombeni ufafanuzi wadau, kuhusu sheria ya takwimu ya mwaka 2002, kama...
Na John Makambo, Tabora JESHI la Polisi mkoani Tabora, linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Ilolangulu, Kata ya Ilolangulu Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, kwa tuhuma za kukutwa na...
Mambo vipi wadau! naomba kuelimishwa juu ya uendeshaji wa kesi hapa nchini ambao vyombo vya habari haviruhusiwi kurush laivu kesi inapoendelea mahakamani. Kwani nimeona tv za nje zikilusha laivu...
Je ni sheria ipi ambayo inamzuia upande mmoja kwenye mkataba kuvunja mkataba pale ambapo upande mwingine hautendikadri ya makubaliano au wakala anapofanya jambo ambalo linanyanyasa wadau wako...
Natanguliza shukrani.
Naitaji kujua haki za mshtakiwa toka anapokamatwa mpaka anafikishwa mahakamani
Naitaji kujua pamoja na chanzo cha hiyo haki utakayonijulisha ni ya chanzo kipi kama ni...
Wakuu,
Naomba kama kuna mwenye nakala ya hukumu za mashauri yafuatayo;
1. Shauri la Uchaguzi Igunga
2. Shauri la Uchaguzi Sumbawanga Mjini
3. Shauri baina ya Serikali na Walimu (hili la mgomo wa...