Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jeshi la polisi limefunga mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam kutokana na mapigano makali kati ya kundi la vijana waliokuwa wakipinga kubomolewa kwa nyumba na waliodai kuwa na hatimiliki ya...
Habari nilizozisikia jana Usiku Kundi la watu wenye silaha kuvamia Nyumba Mbezi Goba bila kuiba chochote..Eneo hilo halina Kituo cha Polisi
Hii imenipa Mawazo Mengi baada ya kundi la watu wenye...
Je? Sheria ya hapa Nchini inasemaje kuhusu raia wa kigeni aliyefika hapa Nchini na hakupata uraia bali ana pass ya kusafiria, Anaweza akanunua makazi yoyote ikawa mali yake?
Tuseme anataka...
OPENING a four-day training for prosecutors and police officers in Dar es Salaam, the Director of Public Prosecution (DPP), Dr Eliezer Feleshi, expressed concern over the ever-rising cases of...
Kugomea sensa ni kutokuwa na elimu ya kutosha? Mimi ningependekeza hao viongozi wa hili swala zima wachunguzwe kiwango chao cha elimu na kiwango chao cha uelewa.
Ni aibu kwa kwarne tuliyo nayo...
Ni toka jana ndani ya jiji la Mwanza kuna watu wakishirikiana na Polisi wanazunguka wakidai wanashika wahujumu kazi za wasanii.
Mambo yanayowafanya watu waamini kuwa ni matapeli:
#Wakiojiwa...
Wana JF naombeni mawazo yenu juu ya chaguzi za marudio. Kwa mujibu wa katiba ya sasa na sheria ya uchaguzi iliyopo , pindi ubunge unapobatilishwa na mahakama kama ilivyo kuwa arusha mjini na sasa...
Katika tathmini ya takribani miaka mitatu,kituo kikuu cha polisi ARUSHA MJINI kimekuwa kikiiba mali za Raia,kumekuwa na matukio ya fedha kuibiwa ndani ya kituo kwa mfano Fedha za KIBO PALACE.Siyo...
Ni baada ya mlolongo mrefu wa kesi kwamba uchaguzi mdogo wa igunga haukuwa wa huru na haki, ndipo hayawihayawi yawa dk kapigwa chini kwahy tunasubiri uchaguz mdogo tupate jembe la chadema peoples...
Habari wana jf,
naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
wadau ni lini jeshi hili POLISI litarejeshwa kwa wananchi ambao ndiyo waajili wao kupitia idara ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao ili nalo lipate heshima?
Likaondokana na hii sura ya...
Kuna wahindi wengi sana ambao ni wahamiaji haramu ambao wako hapa nchini.... na Asilimia kubwa wako kwenye viwanda na makampuni ya wahindi. Pindi mnapokuja kuwa kagua wengine hujificha hadi kwenye...
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuwa linaandaa utaratibu wa kupiga mnada nyumba za watu na kampuni kubwa binafsi ambazo wamiliki wake ni wadaiwa sugu wa shirika hilo.
Shirika...
Mkuu wa mkoa wa Dar anaongea live sasahivi kuwa hakutakuwa na kipengele cha dini katika sensa na kuna kikundi kidogo cha mashehe kinawapotosha waislam safi kwa maslah yake binafsi hivyo...
wana jf natafuta msaada wa kisheria jinsi ya kuishtaki mtandao wa tigo,wamezidi kuniibia(over charge) ni mwaka wa 3.5 sasa sina hamu nao kabisa.Nataka wanilipe fidia inatisha sana.
Nawakilisha.
Jioni hii Waziri Mkuu ametamka bungeni ya kuwa Kama wabunge walio wengi wamepinga miaka(8) ya magari yanayoingia nchini,basi SERIKALI haitakuwa na kigugumizi kurudisha ile miaka (10) ya awali...
Ndugu wadau naomba mnishauri nina kesi ya madai ya milioni 10. Je wakili anayenisimamia nitamlipa shilingi ngapi? Au kuna malipo fixed yasiyojali madai ni ya kiasi gani?
Naomba kuelimishwa.
Suala la afya liwe ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Serikali iwe responsible na aina ya huduma za afya wanazopewa wananchi wake. Hii ina maana kwamba huduma zitakazotolewa na kituo/hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.