Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nisaidieni wakuu, nina mgeni toka China alikuwa na kibali cha tourist cha miezi 3, Bado hakijaisha but amebakisha kama siku kumi, nataka aendelee kuwepo yaani aongeze mda wa kukaa mwenye kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Humu Tanznaia tumezoea kuwaona masikini wakinyanyaswa kwa mambo ambayo hayaeleweki huku Mafisadi wakubwa ndio wanalindwa na dola. Namuomba Adam Malima awaangalie hawa vijana na huyu mwanamke...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kamishna mkuu wa sensa na mkurugenzi wa takwimu kutoka NBS wamekutana na masheikh kujadili suala la waislam kutoshiriki sensa ya mwaka huu Wakiongea na masheikh hao waliwataka waislam washiriki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana kwenye taarifa ya habari kuna mwanaharaki mmoja alisema serikali ipige marufuku uuzwaji wa pombe kwani inamaliza jamii yetu...sikubaliani nae lakini....Kwa uchunguzi nilioufunya nimegundua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mlimani Tv kimekuwa chombo cha habari tanzania kinachotoa mda mkubwa wa hewani kutangaza matatizo yanayo wakumba wananchi wa Tanzania. Makampuni ya simu yamekuwa ni moja ya kampuni zinazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Hogolo, wa umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) ambaye ni Mkazi wa Mtaa wa Ikulu Kijiji cha Hogolo wilayani Kongwa ameuawa kwa kunyongwa na kuzikwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimesikiliza taarifa ya habari Clouds Fm, Afisa uhusiano wa Tanesco Babra Masoud ametangaza kwamba wote wanaoihujumu Tanesco kwa kuiibia umeme wajisarimishe ndani ya wiki 2 na kwamba kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Wanajamvi naomba kufahamishwa je mapato yanayopatikana katika mechi mfano kati ya simba na yanga yanalipiwa kodi?
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Bystanders Soma habari hii ya kusikitisha jinsi Watanzania wenzetu wasio na ubinadamu walivyowatendea majeruhi Wakenya
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesikia katika gazeti moja la Kiswahili la kila siku ya kwamba, DC amepewa ripoti yenye majina ya wauzaji wa magogo na nguzo za umeme kinyume na sheria kutoka katika msitu.. Nakumbuka miaka...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
habari zenu wadau:nilikuwa naomba msaada kwa mtu anyejua ni nini tofauti kati ya kusoma sheria ya UDSM/UDOM first bachelor kwa miaka mnne na kusoma sheria ya MZUMBE first bachelor kwa miaka...
0 Reactions
4 Replies
916 Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna sheria ya kupata house allowance ndani ya sheria zetu za kazi zilizopo hapa Tanzania ili mwajiri wangu aweze kunipa hii allowance,,,ni vizuri kama ipo nijue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Akichangia bungeni leo, bila woga amesema seikali inachokifanya siyo sawa kwa kuwanyanyasa walimu kwa kuwapeleka mahakamani na kutojali maisha yao hasa suala la mishahara yao mibovu la laki 2 na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Malawi President Joyce Banda leaves the country on Wednesday for Maputo, Mozambique for a SADC summit but Nyasa Times understands that she is also due to hold talks with Tanzania’s President...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi, Wakuu, Nimeambatanisha nakala ya Hukumu ya Prof Mahalu na Grace martin! Stay blessed!!
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua kazi za Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania kinachoongozwa na ANANILEA NKYA ni zipi? ili watanzania wanaufaike na umoja huo.
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Mama mmoja leo ameondolewa katika semina inayoendelea hapa nchini kisa ananyonyesha hivyo basi hawezi kumudu shughuli za sensa. VIPI SHERIA YA KAZI INASEMAJE HAPO WATAALAM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani jihadharini na wizi huu Nimepigiwa simu na mtu nisiemfahamu akajitambulisha anaitwa Bwana Mrisho akajifanya ananifahamu hadi sehemu yangu ya kazi, nikamuuliza anashida gani akasema eti...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom