Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wana JF.
Mpaka sasa sijapata jibu kulikoni serikali inashindwa kuweka kipengele cha dini ya mtu kwenye fomu za sensa ilihali kuna kipengele cha kuhesabu makanisa na misikiti-utata huu ni...
Wakuu, natafuta copy ya The Finance Bill, 2012. Nimejaribu kupekuwa kwenye tovuti ya Bunge bila mafanikio. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua namna/mahali pa kuipata kirahisi, tafadhali naomba msaada.
Ninaamini kwamba kila mtanzania anashauku na anangoja kwa hamu kukamilika na kutangazwa kwa katiba mpya. Kinachonishikitisha, kunitisha, kuniogopesha na kunishangaza ni kuona kwamba kati wa...
Mnamo Februari 2, 1985 majira ya saa tisa jioni katika kijiji cha Buguchangaa kilichoko wilayani Kondoa katika mkoa wa Dodoma watu wawili waliotajwa kwa majina ya Iddi Hassani Gwandi na Mussa...
Ustadhi mmoja katika mkoa wa Singida amekutwa na vipeperushi zaidi ya 53 akivigawa kwa raia wanaoaminika ni wa kiislam ili kuwahamasisha kutojiandikisha katika zoezi la sensa ya watu na makazi...
Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, wameamuru wale wote wanaowashawishi wananchi kugoma kuhesabiwa waburuzwe mahakamani.
Source: TBC1, taarifa ya habari saa 2.
Je ni nani kati ya...
Jamani ninaomba kuwasilisha mawazo ya wengi kwenu wana jamii, hivi inakuwaje watu wanaofanya kazi na mashirika ya umoja wa mataifa wanakataliwa kukununua kitu (gari) na kukiingiza nchini bila...
The International Criminal Court ruled on Wednesday against a challenge by Cote dIvoire ex-president Laurent Gbagbos lawyers on its jurisdiction to try him for crimes against humanity.
The...
Wanabodi,baada ya Waziri mkuu kusema serikali itaendelea kutumia sheria iliyopo ya habari bila kufanyia mabadiliko,sasa naomba kuuliza je wanahabari hawawezi kushinikiza kwa kususia kuandika...
Mamia ya abiria waliotarajiwa kusafiri jana kwenda visiwani Zanzibar, jana walikwama kuondoka kutokana na utaratibu mpya wa vitambulisho unaodaiwa kutolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa...
Wadau naleta kwenu hiyo sheria ambayo Tanesco wameitunga ya kuuza mali na nyumba za wateja wenye madeni......sidhani kama ni sawa na kama inaendana na katiba ya nchi!na vipi kama anaedaiwa ni...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini,Mheshimiwa Eliezer Feleshi,amewasilisha Kusudio la kukata Rufaa dhidi ya Hukumu ilimweka huru Prof. Costa V. Mahalu na Bi.Grace Martin. Hii inamaana kuwa Jamhuri...
By Andante Okanya
Telecom operator MTN has dismissed claims that it infringed on the copyright of ex-Kampala Mayor Al Haji Nasser Ntege Sebaggala by using his speech recordings as ringtones...
Katika hali ya kuendelea kuwanyanyasa wazawa wachina watatu wa kampuni ya CHICO wamemfanyia unthinkable mfanyakazi alietaka kuwapa msaada watoto sabini baada ya kutaka kuwapa msaada wa kuvuta basi...
wanajf naomba tujadili uhalali wa jesh la polisi kutumia risasi za moto kwa lengo la kumwokoa M/kiti wa kijiji kigamboni baada ya kutekwa na wanakijiji wake baada kutokea vurugu kati yao na police...
Sasa kujadiliwa upya bungeni, akiwasilisha bajeti ya Wizara ya kazi na ajila Bi Kabaka anesema kuwa kwa bunge ndilo lilipitisha sheria hiyo ndio hivyo hivyo litakazimika kuja kuifanyia...
Wednesday, 15 August 2012 08:49
Na James Magai,
NDOA ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa na mchumba wake, Josephine Mushumbusi imezidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.