Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wale wenye utaalamu wa sheria naomba msaada wenu!mimi ni mpangaji ambae mkataba wangu uliisha tarehe 10 july,mkataba wa awali ulikua wa miezi sita kwa kodi ya 720,000 kwa maana ya 120,000...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kweli tapeli ni tapeli tu kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
nataka msaada usiku huu nijiandae wakuu natanguliza shukran zangu, niko chini ya miguu yenu wakuu plz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je mbunge wa viti maalum anaruhusiwa kua mkuu wa mkoa??
0 Reactions
0 Replies
839 Views
habari wanasheria wenzangu! naomba kupata update za sheria hii, eti hivi kuna sheria ambayo expressly inatoa haki kwa mtoto wa nje ya ndoa kupata sehemu ya urithi, kwa sasa? need yo' help...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Serikali inakiuka haki za Wakimbizi na wahamiaji binafsi kibinadamu Waziri Nchimbi ametetea watuhumiwa wahamiaji haramu nchini na Makongoro Mahanga amepingana na waziri mwenzake kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani napata tabu kutambua uelewa wa wabunge wetu! kwa kupitisha maamuzi kuwa kila mwaka ukienda kulipia vehicle licence ulipie pia gharama ya fire extinguisher takriban 40,000/= pasipo kupewa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali imefanya kioja kingine kwa kuwapiga chini walimu kusimamia zoezi la sensa tofauti na sensa ziliopita ambapo walimu ndo walikuwa wadau namba moja. Taarifa za ndani zinathibitisha kuwa hila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgaya ametangaza maandamano na kukimbia kipindi wafanyakazi wanahitaji muongozo kwa dhati. Mgaya umetia aibu kuu jitokeze ama ukanushe au utoe muongozo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimesoma hii clip na kujiuliza sana. Huu uteuzi una tija kwa taifa kweli? Kutoka PS hadi Hadi mtendaji Mkuu wa Mahakama? Wapi na wapi? Nilidhani Post hiyo ya mahakama inahitaji mtu anayejua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mnasemaje hapo? Mambo Msondo Ngoma yaani hadharani. Nawasilisha.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
"The matter of an application for leave to apply for an order of certiorari"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamaa aliajiriwa (mkataba wa muda fulani) baada ya miezi miwili akiwa bado probation akaachishwa kazi, je kisheria anazo haki zozote? ukizingatia sheria ya kazi 2004 kifungu cha 35 kina waondoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imefanya kioja kingine kwa kuwapiga chini walimu kusimamia zoezi la sensa tofauti na sensa ziliopita ambapo walimu ndo walikuwa wadau namba moja. Taarifa za ndani zinathibitisha kuwa hila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kweli siasa ni unafiki thats why i hate politicians na politics zao, Viongozi na wanaojiita MAKAMANDA wa cahama cha CHADEMA wamekua wakihubiri kupambana na ufisani unofanywa na serikali ya CCM na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo katika pita yangu mtaani nakutana na walimu wanalalamikate eti wamefunga shule ili washiriki zoez la sensa lakin badala yake wamechukuliwa watu wa mtaani na maofisa. je kuna ukweli kuwa...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Llm
Im planning to study LLM abroad but my bachelor degree is not LLB, Can I qualify to be advocate when I come back home after my LLM master degree? ALTERNATIVE B, I might study postgraduate...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Waziri Wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbaruok SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR WIZARA YA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Idara ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom