Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Heshima kwenu wana-JF,
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni vigezo gani vinatumika ili vita yeyote kuwa mentioned kama ni Vita kuu ya Dunia?Na ni nani anajukumu la kusema kuwa hii ni Vita kuu ya...
Ni jambo la kuhuzunisha sana kuona serikali yenye kulipa visasi na kuwaadhibu wale wote wanaothubutu kusema ukweli ama kudai haki zao za msingi.
Hili linadhibitishwa na matukio mawili makubwa...
Kwa mara nyingine tena Serikali imepigwa mweleka katika kesi iliyofungua dhidi ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia.Nini maoni yako kuhusu weledi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka...
Am doing dissertation this year my research topic is HOW CHILDREN'S ARE TREATED IN POLICE AND COURTS IN TZ... any expert on that anayeweza kunipa kaushauri or how to do! kama kuna nafasi ya...
mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni...
Habari wanaJF, nimeamua kutafuta msaada hapa kuhusu sheria za uhamiaji UK, kuna ndugu yangu alienda masomoni UK kama miaka 7 imepita na anafanya kazi huko, huku TZ aliacha mke na mtoto (16 years)...
Wana JF,
kumekuwa na wimbi kubwa la uvamizi katika nyumba za raia wengi hapa Arusha, Wezi hawa wanakuja kwa makundi makubwa kama watu 30 wanavamia nyumba kadhaaaa wanakomba vitu na wanapakia kwa...
Mi ni Mtumishi wa umma...sasa Ps wetu amenidokeza kuwa ameshangaa ameona Muhtasari wa malipo na majina ya wajumbe mimi jina langu pia,ila sasa ameshangaa ameona siyo ile ninayo sain siku...
jamani wana jamvini naombeni kuuliza, mi nafanya kiwanda cha rangi Coral, HR-Manager wetu ambaye ni mwindi katutumia msg inasema ivi Dear All, Tomorrow, 08 August 2012, will be a working...
Wana JF,
Nimesoma makala hii toka Yahoo kuhusu mfumo wa social security wa Marekani.
Hii iwe kama "wake up call" kwa wale wote wanaodhani kuwa watakuja kupata mafao mazuri uzeeni kwa kuacha mafao...
Wadau hili si zoezi endelevu kwa sababu kila siku iendayo kwa mungu kuna raia wanapata sifa ya kupata vitambulisho i.e wanafikisha umri wa miaka 18 na kuna wachina wanaingia kama wawekezaji...
Juzi kwenye mazishi ya marehemu Mzee James Irenge ambaye alikuwa mwalimu wa baba wa taifa Julias Kambarage Nyerere katika shule ya Msingi Mwisenge ambaye alifariki akiwa na umri zaidi ya miaka 120...
Sheria za kimataifa zinatambua mchango wa mito kwenye ustawi wa bahari ili kugawa eneo la ziada la bahari (rejea presentation ya Prof Tibaijuka UN ambayo kina Jussa waliitolea povu). Sasa Zanzibar...
I thought to myself; how will this work amid many sophisticated machineries which didn't work at all?!
1. PCCP was formed as a result of the failure by the ordinary police force to cub...
The tribunal investigating suspended Deputy Chief Justice Nancy Baraza over the Village Market gun drama has recommended for her removal from office for "gross misconduct and misbehaviour."
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.