Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Huko nyuma ilifikia hatua nilimuomba Mheshimiwa ZITTO kabwe apunguze speed yake kwenye namna alivyokuwa akiipigia chepuo NSSF kuwekeza kwenye miradi ya Kisiasa hasa umeme kwa sababu kwanza...
Kutokana na hukumu iliyotolewa na Mahakama juu ya mgogoro wa waalimu na serikali, nashawishika kusema kwamba Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT) chini katibu wake Mukoba kimeamua kuwa uza waalimu...
Nimetoka Singida naelekea Arusha, nimepanda Mtei bus yaani linasimama kila sehemu limejaza sana na abiria wengi wamesimama.
Ninachoshangaa traffic wapo barabarabi na wanalisimamisha gari...
Wanajamvi hivi kwanini tupange foleni ya kuandikisha vitambulisho wakati watu wa sensa watapita kila nyumba kumuhesabu mtu na kuchukua baadhi ya maelezo kwanini form hizo zisiwe ndio za NIDA...
Baada ya kutumia Mahakama kuzima mgomo wa Walimu, sasa walimu wameibuka na style nyingine ya mgomo. Hapa watakaoumia ni watoto wa shule za St. Kayumba. Sijui madaktari nao wataibuka kwa style ipi!!
MIGOMO KISHA MAHAKAMA ZIKASEMA NI BATILI BADO KUAHIRISHA HAKI SIO SULUHISHO LA MADAI YA WANYONGE
Hatuwezi kuwalipa Madaktari iweje tuwalipe hawa wana wa wito kama hawataki tunazowapa...
Na Gideon Mwakanosya, Songea.
MWALIMU mmoja wa jinsia ya kike aliyefahamika kwa jina moja la Kahimba wa shule ya msingi ya Kambarage iliyopo Kata ya Msamala katika Halmashauri ya...
Salam jf
inakuwa ni vp kila serikali inapokimbilia mahakamani yenyewe ndio inakuwa mshindi? Does it mean kuwa yenyewe iko perfect wakati wote?
Mathalani tazama migomo ya madaktari pamoja na...
naombeni msaada wa kisheria jamani,nipo tanga nimeibiwa begi langu wakati nashuka toka kwenye gari,.mkoba wangu uliokuwa na kila kitu,yaani,kadi ya benki,kadi ya kura,kitambulisho cha kazini,na...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wahiriri na waandishi wa vyombo vya habari nchini Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Wakati mgomo wa walimu ukiendelea, Rais Jakaya Kikwete, amesema kuwa madai...
..Wachambuzi wa mambo naomba munisaidie swala hili;
Hivi sakata la mv skagit wahusika si wameshafikishwa mahakamani?!. sasa mbona bado linaendelea kuzungumziwa bungeni na Kwingineko?!!
Katika sakata dhidi ya serikali na wafanyakazi Mgaya kutoa neno hivi karibuni lakini taarifa za ki intellegensia zinasema kuwa tarehe 15 ndio siku pendekezwa.
Madai pendekezwa:
Maslahi kiduchu...
kuna equal right katika katiba ya Tanzania (1977 art 13) kwa wananchi wote lakini still classes zinatamba, mwalimu na mbunge are not equal vivyo hivo daktari na msanii. napata jibu kuwa sheria...
Hii ni dalili kwamba Tanzania hatuna sheria ya kutetea haki za watoto. Maandamano ya hawa watoto au wanafunzi hayakuwa uvujaji wa amani au sheria, bali kuisaidia serikali kufungua zaidi na kuona...
Kukosekana kwa utu na ufahamu wa maswala ya haki za watoto, kunawafanya waendesha mashtaka kuchelewesha na kuleta ukiritimba ambao unaweza kusababisha wakati wana rule out Lulu atakuwa tayari umri...
Mahakama kuu kitengo cha kazi ilipanga kutoa rulling juu ya mgomo wa waalimu leo mnamo saa nane mchana. Sasa mwenye updates ama aliyeko mahakamani tunaomba atujuze kinachoendelea.
Ahsanteni
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini...
Tarehe 30 July 2012 SSRA wametuma barua Resolute Mining kuhusiana na sakata la fao la kujitoa
Kumb. Na.CB75/396/VOL.II/13 withdraw benefit soma hiyo clip.
Je hili si changa la macho? Mbona...
Uzalishaji ndani ya mgodi wa Bulyanhulu KMCL umesimama kabisa kuanzia jioni ya leo tar.01.08.12 kufuatia wafanyakazi kutaka mpaka wapatiwe ufafanuzi kuhusu mustakabali wa fedha zao walizochangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.