Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ufafanuzi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhitibi wa Hifadhi ya Jamii UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII. Ufuatao ni ufafanuzi mfupi...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
hili sakata la amendments za pension tulitegemea kusikia maoni toka kwa waziri kivuli wa kazi wa CHADEMA waje na hoja mbadala lakini kimya hajulikani ni nani na haieleweki kwa nini kaingia mitini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana Jamvi Natamani huu mgomo wa Walimu ungetokea kipindi cha miaka 1994 hadi 2002. Hakika kipindi hicho wanafunzi hata wa shule za msingi walikuwa wanaumri mkubwa na wenye kufikiria na kuweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jana nimepita shule nyingi za dodoma nikakuta kuna mgomo wa walimu,baadhi yao wakasema walimu wasiogoma ni wasaliti,Nikawakatalia kuwa si wasaliti,mwalimu amefundisha miaka 30 nyuma,amebkiza...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Serikali inasubiri nini, si ipeleke wanajeshi nchi nzima wakafundishe!!, Ngoja na walimu wa vyuo vikuu nao wanukishe nasikia ipo jikoni, na huko napo wawaandae wanajeshi kwenda kukata nyanga...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Gari yangu ilipata ajali wiki iliyopita ikiwa na valid insuarance na MVL. Naomba nielimishwe kama kuna utaratibu wowote ule unaoweza kufanyika ili MVL ya gari hiyo isogezwe mbele...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza hv hawa tbccm kuna ulazima wowote wa kutanganza mwenendo wa huu mgomo mi naona wameegemea upande wa kutaka kuonesha kuwa mgomo umefeli kwanza jumapili waligoma kutanganza ile...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
siasa ndio uti wa mgongo wa taifa hili,kwani wamekuwa wakiongezewa vipato bila visingizi vya uchumi mdogo wa taifa,MADIWANI WAMEONGEZWA KWA ZAIDI YA ASILIMIA MIA,WABUNGE NA MADIWANI WANALIPWA...
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Wana-JF, Nimekuwa nikijiuliza mwenyewe hili wimbi la migomo lilivyoanza hapa nchini pasipokupata majibu. Fikiria walivyogoma madaktari hapa nchini na matokeo ya mgomo huo. Fikiria wanavyogoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tue, Jul 31st, 2012 Tanzania | The Tanzania government plans to table in Parliament a new law to regulate insolvency and bankruptcy issues in the country. Enactment of the new law, which is...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Ndugu wana JF,Nimesoma na kufuatilia kwa makini Marekebisho ya Sheria yaHifadhi za jamii na nimegundua kuna masuala ya msingi ambayo hayakuzingatiwa.Ukiangalia Katiba ya nchi ibara ya 21...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejaribu kupitia hotuba ya baba wa taifa alisema "Tumeamua kua wakali sana na wala rushwa,kwamba ikithibitika mtu amekula rushwa kwamba aliyetoa na aliyopokea wote wanapata adhabu na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika vyuo vyote ulimwengu kozi ya sheria inachukuliwa kuwa mihimu na nyeti,ili mwanafunzi awe na sifa ya kupewa shahada ya kwanza ni lazima afanye utafiti na hatimaye aandike ripoti ya utafiti...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji msaada kwa mwenyekujua ni sheria ipi na ya mwaka gani ambayo haimruhusu dereva kutembea na kopi ya leseni na nini adhabu yake iwapo atakamatwa
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Ni habari ya uhakika kabisa ambayo nimeifanyia uchunguzi wa kutosha. Wakiingia kazini hawa askari wanapewa jukumu la kila mmoa hataruhusiwa kuondoka alipopangiwa hadi akamate magari 20 ambayo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom