Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau nimeona tujadili hili la serikali yetu kutumia mahakama zetu kama chaka la kuficha maovu yake!!! Tuliona swala la madaktari walipoanza tuu mgomo serikali ikakimbilia mahakamani kusitisha...
Sidhani kama hata ile idara ya procurement pale BOT wanaweza kuwashinda hawa Tanesco kwa ufisadi uliokithiri
Lakini mkitaka kujua ufisadi unavyofanya kazi tazameni:
1. Valuation team za hii...
Wana JF, Leo nimestuka na hii kodi mpya kwenye magari. Mbona sikusikia kama chanzo kipya cha mapato ya serikali kwenye bajeti ya mwaka huu?
Leo rafiki yangu kaenda TRA kulipia road licence...
Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanasota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau...
Taarifa iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi kumponda Katibu wa nishati na madini imeonesha Gazeti hili liliandika bila kufanya utafiti. Ukweli halisi tumeupata siku bajeti ilipowasilishwa na...
JIRANI YANGU AMENUNUA BAISKEL INAYOSEMEKANA NI YA WIZI .MWIZI AMEKAMATWA YUKO O/BAY BAADA YA KUMINYWA AKAMTAJA ALIEMUUZIA WAKAMKAMATA USIKU WAJANA WAKAMWEKA KITUO KIDOGO CHA MIKOCHENI .KTK...
From a friend.
Please be informed that armed thieves have recently come up with a more efficient" method of disarming people in the City Centre.
They extend their arm for a handshake after...
Ni mama wa Kijita mitaa ya Mkombozi Kilimahewa Mwanza mama ashikwa majira ya saa 5 mchana.Inasemekana watoto wanaopoteaga katika mazingira ya kutatanisha anawachukuaga huyo mama.Kakutwa mmoja na...
Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii
pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.
Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NIDA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale...
nikiwa kama machine operator wa mamlaka ya reli,imetokea ajari kwa behewa kotoka kwenye reli kutokana na ubovo wa machine yaani zimechoka,kwanza tokea wachina wazifunge mwaka 1975 hazija fanyiwa...
Assalaamu alaykum, hongereni kwa swaum. Hili zoezi la vitambulisho vya taifa sijalifatilia kwa undani, ila kwa mtazamo wa jumla linaonekana kuwa na nia njema na wananchi wa Tanzania. Kinachonipa...
Ninilisikitishwa saana na Serikali ya Tanzania kuwazuia ma dr kuadamana kisa kesi hiko mahakamani.Na jana nimesikitishwa zaidi na kauli ya Serikali kuhusu mgomo wa walimu kwa kusema kuwa ni batili...
Ndugu wanajamvi;
Raisi wa CWT ametangaza mgomo wa walimu nchi nzima utakaonza jumatatu 30/7/2012 hadi 03/8/2012
Kama madai ya walimu hayajatekelezwa mgomo utaendelea tena baada ya...
Jamani naomba kuuliza hvi ile sheria mpya iliyopitishwa ndo itaendelea kweli au Bunge limefikia wapi maana binafisi naona kimya tu au ndo watu wameridhika?
Affidavit..Hati ya kiapo
nipo mahakamani kuhakikisha napata hati yang ya kiapo kuonyesha nimezaliwa mwezii wa 7 mwaka 1957!!
nikitoka hapa nikachukue chet changu RITA.
Tusiulizane how i look like...
Ndugu zangu inawezekana unashukuru mungu kwa kuwa amekupa uhai
uhai uliopo ni kwamba hii sehria inayoendelea kupigwa kelele na hawa wahuni
waitwao wabunge kuipitisha na leo hii nimesikia ati...
Habari zenu ndugu zangu wanajf,
Ni matumaini yangu waraka huu utawakuta mkiwa wazima wa afya ninyi na familia zenu.
Nianze na mkasa ulionikuta.
Jana majira ya saa tatu nilipita kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.