Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam,
imewahukumu washitakiwa waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya
kujipatia fedha isivyo halali kutoka
kwenye Akaunti ya Malipo ya...
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini...
Most people are misusing power of attorney, it must be noted that power of attorney cannot be issued to any one to stand for somebody.
they must be enough reason to be given power of attorney main...
Hivi ni nani ambaye anawafanyia watoto 'sexual assault' au ubakaji wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani? Kwani TAMWA kutoa 'rape alert' kwa watoto inaonesha kuwa vitendo hivi ufanyika mara nyingi...
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya
asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni
baada ya kuambiwa mumewe wakati
anaenda kazini kwamba akirudi asimkute
hapo nyumbani, na kama akimkuta,
atamtoa hapo...
James Magai
KESI ya msanii wa fani ya filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu, imeahirishwa hadi Agosti 20 mwaka huu, kutokana na Jaji anayeisikiliza, DK Fauz Twaib, kuwa na majukumu...
Katika siku za hivi karibuni kulitolewa taarifa kwenye jamii forum ya kwamba jima anololitumia katibu wa fedha na mipamgo ccm, siyo la kwake bali alilipoka kutoka kwa mwenye jina hilo...
Thursday, July 19, 2012MASIKINI MWAKALEBELA, MAHAKAMA KUU YAITOSA RUFAA YA KESI YAKE YA RUSHWA, KAMA HAWATAKATA RUFANI MAHAKAMA YA RUFANI, SHAURI LAKE KUANZA KUSIKILIZWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI...
Wana JF
Leo nzima nimekuwa na simanzi baada ya kupoteza biashara kisa nimechelewa appointment na wadau wangu .Nilikuwa na wafanya biashara walio kuja hapa nchini kuhusiana na mambo ya kilimo...
Naomba kujua kisheria zaidi, je yule mwanafunzi aliyeandika mistari ya Bongo fleva kwenye mtihani wake wa kidato cha nne, je anaweza kushtakiwa? Kama ndiyo kwa sheria kosa lipi na kwa sheria ipi...
Habr wakuu?
Samahan kuna vitu ambavyo vinaniumiza kichwa ikiwemo hil.
Je police kwa jina la haraka haraka wamezoeleka kama tigo.
Hawa jamaa wanahusika na ukamataji wa piki piki/ bodaboda...
Opulukwa, Meshack Jeremiah [CHADEMA]
Meatu Constituency
Session No
Question No
To the Ministry of
Sector
Date Asked
7
25
JUSTICE AND CONSTITUTIONAL AFFAIRS
Justice/Constitution
11 April...
Nora Damian
WACHUNGAJI wanne wa madhehebu ya Kanisa la Pentekoste ambao pia ni Wakurugenzi wa Taasisi ya Kuendesha na Kusimamia Mchezo wa Upatu (Deci) wamesema watajitetea kwa njia ya kiapo...
Wadau,
Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya...
Wanaforum kuna hii kitu inaniumziga kichwa kuhusu hawa ppf na nssf ni kwa nini wanashindwa kutoa mikopo kwa wanachama wake na badala yake wanakazi ya kutoa mikopo kwa serikali na wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.