Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wana JF,
Ni jambo la kushangaza kwa huu utamaduni mpya wa wafuasi wa CDM wa kutoa hukumu za kesi za uchaguzi ziwe vipi hata kabla ya kesi kutajwa.
Tumeona kwenye kesi ya Lema kule Arusha CDM...
Bunge jipya huko Misri linategemea kupitisha sheria ya kuruhusu wanaume waliofiwa na wake zao, kufanya nao ngono kwa lengo la kuwaaga. Muswada wa sheria hiyo mpya tayari imepingwa na wanaharakati...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa
WAKILI MARANDO ASEMA NI SHAHIDI MUHIMU,WATAMLETA KUTOA USHAHIDI WA MANENO
Tausi Ally
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa...
Wapendwa, nilisema humu hapo zamani, kuwa hiki kitendo cha JK kuwateua majaji kujaza nafasi eti kwa vile majaji hawatoshi kitaua the highly respected High Court of Tanzania. Angalia/soma...
Jamani, yule jaji wa Arusha aliyetoa hukumu Lema asigombee kwa 5 years, wakati Lema hajapatikana na ushahidi wa rushwa (rushwa ndo inafanya iyo 5 years), kuna dalili zote kuwa alipandikizwa. ccm...
Quotable Quotes of Mwl. JK Nyerere : Collected from speeches and writings. Publisher ni mkuki na nyota.
Kitabu hiki ni kizuri sana ambacho kinafaa kisomwe na kila mtanzania ambaye hakujaliwa...
Kuna bar na guest (mwenyewe ameipa jina la hoteli) jirani yangu inatunyima amani kwa kelele za juke box. Ni kuanzia asubuhi mpaka usiku wa saa 6 au zaidi. Tumezungumza na mmiliki lakini wapi...
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku.
Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: -
1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti...
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku.
Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: -
1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Mei 8, mwaka huu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa...
WanaJF na hasa Wanasheria,
Ningependa kuuliza, hivi Mfanyakazi akiwa ndani ya Probation Period anaweza kufukuzwa kazi bila ya kufuata utaratibu ulioainishwa ktk Sheria ya Kazi ya Mwaka 2004 na...
Niliajiriwa na shirika moja yapata miezi miwili sasa kama mhasibu msaidizi. Tatizo kubwa bosi wangu aliyeniajiri haelewani na mhasibu mkuu wangu. Kisa ni kwamba bosi anapenda kutumia sana pesa...
wadau tarehe 2 mwezi wa 5 mahaka kuu inamvua ubunge mbunge wa tabata segerea so vijana kwa wazee wote tukae mkao wa kula kwa uchaguzi mwingine..cha msingi ni kuhakikisha tunaweka stashahada zetu...
Ikiwa nitaamua kutengeneza bidhaa, mfano nguo, hususani T-Shirt na kuweka alama za Taifa kama; pendera, fedha, nembo n.k, je nitakuwa nimetenda kosa?
Naomba kuwakilisha.
Jana JWTZ lilimaliza kazi ya kuhamisha mahindi kutoka maghala ya Mkoa wa Ruvuma na kupeleka Mkoa wa Iringa na Rukwa. Ikaonekana kuwa JWTZ ilifanya hivyo ili kupata nafasi ya kuweka mahindi mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.