Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

What to be done to achieve sustainable development and prudent stewardship over natural resources. In tanzania
0 Reactions
0 Replies
866 Views
What to be done to achieve sustainable development and prudent stewardship over natural resources.IN TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wana JF, Ni jambo la kushangaza kwa huu utamaduni mpya wa wafuasi wa CDM wa kutoa hukumu za kesi za uchaguzi ziwe vipi hata kabla ya kesi kutajwa. Tumeona kwenye kesi ya Lema kule Arusha CDM...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bunge jipya huko Misri linategemea kupitisha sheria ya kuruhusu wanaume waliofiwa na wake zao, kufanya nao ngono kwa lengo la kuwaaga. Muswada wa sheria hiyo mpya tayari imepingwa na wanaharakati...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa WAKILI MARANDO ASEMA NI SHAHIDI MUHIMU,WATAMLETA KUTOA USHAHIDI WA MANENO Tausi Ally RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kama kuna mwenye FULL judgements za kesi za wabunge zilizokwisa amuliwa atuwekee humu jamvini.Tumekuwa tukipata part thereof
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa, nilisema humu hapo zamani, kuwa hiki kitendo cha JK kuwateua majaji kujaza nafasi eti kwa vile majaji hawatoshi kitaua the highly respected High Court of Tanzania. Angalia/soma...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani, yule jaji wa Arusha aliyetoa hukumu Lema asigombee kwa 5 years, wakati Lema hajapatikana na ushahidi wa rushwa (rushwa ndo inafanya iyo 5 years), kuna dalili zote kuwa alipandikizwa. ccm...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Wadau naomba tofauti ya kina kama ipo maana niliona jamaa mmoja juzi channel 10 akitofautisha lakini nilikuta ndo anaishia sikunyaka vizuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Quotable Quotes of Mwl. JK Nyerere : Collected from speeches and writings. Publisher ni mkuki na nyota. Kitabu hiki ni kizuri sana ambacho kinafaa kisomwe na kila mtanzania ambaye hakujaliwa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna bar na guest (mwenyewe ameipa jina la hoteli) jirani yangu inatunyima amani kwa kelele za juke box. Ni kuanzia asubuhi mpaka usiku wa saa 6 au zaidi. Tumezungumza na mmiliki lakini wapi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku. Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: - 1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku. Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: - 1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Mei 8, mwaka huu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Nipo katika kuchambua hukumu za kesi za uchaguzi, ningeomba mwenye hukumu tajwa hapo juu anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
963 Views
WanaJF na hasa Wanasheria, Ningependa kuuliza, hivi Mfanyakazi akiwa ndani ya Probation Period anaweza kufukuzwa kazi bila ya kufuata utaratibu ulioainishwa ktk Sheria ya Kazi ya Mwaka 2004 na...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Niliajiriwa na shirika moja yapata miezi miwili sasa kama mhasibu msaidizi. Tatizo kubwa bosi wangu aliyeniajiri haelewani na mhasibu mkuu wangu. Kisa ni kwamba bosi anapenda kutumia sana pesa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau tarehe 2 mwezi wa 5 mahaka kuu inamvua ubunge mbunge wa tabata segerea so vijana kwa wazee wote tukae mkao wa kula kwa uchaguzi mwingine..cha msingi ni kuhakikisha tunaweka stashahada zetu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikiwa nitaamua kutengeneza bidhaa, mfano nguo, hususani T-Shirt na kuweka alama za Taifa kama; pendera, fedha, nembo n.k, je nitakuwa nimetenda kosa? Naomba kuwakilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana JWTZ lilimaliza kazi ya kuhamisha mahindi kutoka maghala ya Mkoa wa Ruvuma na kupeleka Mkoa wa Iringa na Rukwa. Ikaonekana kuwa JWTZ ilifanya hivyo ili kupata nafasi ya kuweka mahindi mapya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…