Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu, hivi majuzi niliona tangazo la airtel kuwa ukinunua moderm ya airtel kwa shs elfu 30,000 utapata internet bure kwa miezi 6. Baada ya kuona hivyo nilienda kwenye duka lao na kukuta...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba msada kujua vifungu vp vya sheria zetu hapa Tanzania vinakinzana na vile vya BILL OF RIGHTS Example Death pernant in sect.25 of penal code VS article 14 of constitution (Right to life)
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Nini hupelekea mabadiliko ya katiba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF na hasa Wanasheria, Ningependa kuuliza, hivi Mfanyakazi akiwa ndani ya Probation Period anaweza kufukuzwa kazi bila ya kufuata utaratibu ulioainishwa ktk Sheria ya Kazi ya Mwaka 2004 na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu wanasheria. Ninaomba msaada wa mwanasheria yoyote ambaye ataweza kunisaidia katika kuandika Memorandum and The articles of Association kwa ajili ya registration ya Private...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
WANAJF; Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu hili suala la Mh. Rais Kikwete kufumua Baraza la Mawaziri mara kwa mara, hivi tatizo ni nini? Je, ni kweli kwamba Mh. Rais huwa anakosea ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinahusika Naomba anayejua hatua zinazotakiwa kufatwa anisaidie tafadhali asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu kapewa barua ya kusimamishwa kazi bila kupewa maelezo ya mashtaka yaani charges zake! Barua inasema mashtaka yake atatumiwa hivi karibuni. Utaratibu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
inina mgonjwa mahututi aga khan , lakini kila saa anashituka na vingora vya "viongozi" wetu, jee nani muhimu, hospitali hii ilikwepo, haa kabla viongozi wote hawa hawajawa viongozi
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wakuu nina swali,Ni nini process ya ku-adopt mtoto?anayetaka kuadopt ni step dad.Na je, akisham-adopt baba mzazi wa mtoto anaweza kum-claim mtoto back?Please assist.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau wa jf,nilikamatwa na askari wa kituo cha osterbay nikiwa coco beach jumatatu ya tar 23 nikiwa na mpenzi wangu,wakatupeleka kituo cha oysterbay nakatubambika kesi ya kufanya mapenz...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Iwapo mbunge hajatimiza ahadi alizo ahidi wananchi waliomchagua wamwajibishe au asipate nafasi ya ugombea tena kipindi cha kwanza kikiisha. Hii itasaidia wabunge kuwakilisha wananchi bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Judiciary has no immediate plans to re-open cases whose handling ended the careers of four senior appellate judges on Wednesday. Asked whether there were plans to review the judgements, Chief...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
kuna rafiki yangu alikuwa anafanyakazi kwenye sekta binafs kwa kipindi cha zaidi ya miaka10.alikuwa akipewa mikataba ya mwaka mmoja renewable.hv karibuni mktaba ulipoisha mwajiri wake hakutaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ah,changieni mawazo wadau. Please can you,suggest how to tackle this matter legally?The police officers in one of the notorious police stations in Dar es Salaam,took the original documents(SALES...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman kwa Wale Mnaojua Sheria .. Sheria Kuwa Na Blog Inasemaje .. ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanasheria, tunaomba muongozo wa hii kesi ya Dogo Lulu,je anashitakiwa kwa kuua moja kwa moja au kuchangia kifo? Maaana mpaka sasa ni kizungumkuti, nimesoma hii taarifa inaonesha anashitakiwa kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu. Naomba mtu mwenya nakala ya hukumu ya Babu Seya na mwanae Papii kocha aitupie hapa nahitaji kuona facts zilizo ainishwa kumtia hatiani. Asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuhalalisha matumizi ya madawa ya kulevya duniani je itafanya bei ya kununua ishuke kisha wauzaji wakubwa kukata tamaa na biashara hiyo? Ndio mikakati moja yapo ya Obama na nchi zingine pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…