Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
wana JF wenzangu. habarini.
niliachishwa kazi na muajiri wangu kampuni binafsi 3yrs ago. hakuwa akiniwekea chochote NSSF japo alikuwa akinikata 10% ya mshahara wangu mda wote nikiwa ktk ajira...
FORMER Vice-President Prof. Gilbert Bukenya was yesterday charged before the Anti-corruption Court over the botched Chogm 2007 car deal. He denied the charge.
In the second case, however, his...
walinikamata hawakuninyanyasa hawakunipiga walakunifanyia kitendo kibaya chochote,walinilinda wakithamini uongoz wangu kwa taifa letu,alisema mbowe kwenye taharifa ya habar ya itv .
jaman...
Nimekuwa nikifuatilia mjadala katika vikao vya bunge hasa la bajeti ambapo wabunge hupata nafasi ya kuchangia kwa dakika zisizopungua kumi kiukweli kuna wabunge wakisimama kuchangia hotuba na mimi...
Wanasheria jana nilikuwa sehemu na bugia maji ya ilala ukazuka ubishi meza ya jirani kuhusu neno original na genuine na pia kuhusu neno warrant na genuine.
Original na genuine linaweza kuwa la...
Mchungaji Rwakatare kuhojiwa kwa kushindwa kutangaza mali Na Agnes Mwaijega MBUNGE wa Viti Maaluma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, anatarajiwa kuhojiwa leo...
Baba Askofu, Bwana Asifiwe.
Kama sikosei Mahakama kuu ya Tanzania, Arusha ilitoa amri kuwa Askofu Hotay asiwekwe wakfu mpaka hapo pingamizi lililowekwa na waumini wawili lipatiwe ufumbuzi...
Bado ningali na kigugumizi na sintofahamu baada ya kampuni ya kimarekani symbion kununua mitambo ya dowans.Ninachofahamu,kwa mujibu wa utaratibu wa kimahakama,shauri lolote lililo mahakamani...
Nimepita pale kwenye dula linalouza miswada mbali mbali iliyopitishwa na serikali na nimekuta karibu yote imeandikwa kwa kiingereza
nilikuwa nina taka sana ile ya serikali za mitaa tena ambayo...
Ndugu wana JFkuna ulazima wa kisheria kumtajia mtu umri wako,iwe ni askari au mahakama au mtu yeyote.sheria inasema nini kuhusu hilo.naomba kuwasilisha.
By In2EastAfrica - Mon Jun 06, 3:22 pm
Deputy Speaker Job Ndugai
Parliament has declared that it cannot interfere with the powers of the judiciary following the arrest of the...
Nilikamatwa nikashitakiwa kwa tuhuma za kukutwa na nyala za serikali. Miaka minne ya kesi, mwaka 2008 mahakama ikatoa hukumu kuwa sikuwa na hatia, upande wa jamhuri haukutoa ushahidi wa...
Je ni haki kwa mfanyakazi yoyote kufanya kazi kama kibarua kwa zaidi ya miezi 12?
Je ni haki kwa mfanyakazi huyo huyo kufutiwa mkataba bila kupewa sababu?
Je ni haki kwa mfanyakazi kuendelea...
Hivi kwa mujibu wa sheria chama cha wanafunzi kinaweza kufutwa kwa kutumia Government Notice No. 178 of 12 June, 2009? Na inakuwaje juu ya University Act of 2005 section 42 (1)?
Naombeni msaada...
Jana ilikuwa ni siku ya kamata kamata kwa wale wote waliojihusisha na kusafirisha wanyama pori kupitia KIA. Sina uhakika na idadi ya watuhumiwa waliokamatwa ila uhakika nilionao ni kwamba wahusika...