Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hi,
I am an owner of an IT start-up in Tanzania. I cannot afford to keep people on the payroll so I want to make use of a freelancing model. In this model, I get people to work on some project...
Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa...
Wadau naomba mnisaidie hii. Nilisimuliwa tu wakati naanza maisha ya ukanda huu wa pwani na nikaona baadaye kwa rafiki yangu. Sijui "mila" au utaratibu wa "sheria za nchi" au "sheria za...
Wadau habari zenu?
Naomba wataalamu wa sheria wanijulishe kuhusu haki ya mfanyakazi kupata bima ya afya (yeye mwenyewe, mke/mume wake na watoto).
Sehemu nyingi nilizopita kufanya kazi, hususan...
Jamaa alioa mke kwa ndoa kanisani yapata miaka mitano iliyopita huko kijijini na kuhamia Dar kikazi, wakabahatika mtoto mmoja. mwanamke alianza kubadirika baada ya kufika mjini ugomvi ndani...
Obama tries to stop execution in Texas of Mexican killer US president warns Texan authorities that execution would put America in breach of international legal obligations...
Heshima yenu wakuu,
Naomba kufahamishwa kama NGOs zinalazimika kuwa audited kama yalivyo Makampuni. Pia naomba mwenye Non Governmental Organizations Act, No. 24 of 2002 atuwekee hapa nasi tuisome...
Casey Anthony found not guilty of murdering daughter Caylee
Florida jury acquits mother of killing 2-year-old toddler who went missing in 2008 and was found dead six months later...
leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika...
Katika pitia yangu ya magazeti ya bongo nimeona picha ya mtu aliejeruhiwa katika ya ajali ya gari, chini yake kuna maelezo kua jamaa anakimbizwa Polisi kupatiwa cheti ili akatibiwe....... Hivi...
Jamani wanandugu naomba kuuliza tu kwa wale wenzangu wanaoijua sheria! Baba anapokua mkaidi kutoa hela ya matunzo ya mwanae wea do I go to complain about this na sio kwamba hana uwezo! Somebdy pls...
heshima yenu wakuu! Naomba ushauri wa kisheria,nilimuuzia jamaa mmoja gari ni siku kama kumi zilizopita,hatukuandikishiana sehemu yoyote,lakini nilimpa kadi ya gari,niliuza nikiwa na lengo la...
Wakuu naomba msaada wa ushauri wa kisheria kwa mtu anayetaka kuacha kazi katika wizara moja kwenda nyingine (kazi tofauti). Pia kama kuna muongozo kuhusiana na hili naomba mnisaidie....
Kinachoendelea bungeni sasa hivi tumekiona. Kwamba Tundu Lissu na wenzake wanamshtaki Spika Anne Makinda kwa kukiuka kanuni.
Ukiitizama hii kwa umakini kinachoelekea ni kwamba inawezekana Spika...
Ndugu wataalam wa sheria naomba mnisaidie.
Nimekuwa nikiletewa ankara za maji ambazo ni wazi kabisa kuwa zimekaa kiwizi wizi vile. Kila nikienda kulalamika wananiambia hayo ndiyo matumizi yangu...
Salam wadau,
Kati ya vitu ambavyo ilikuwa ndoto yangu tangu utotoni ni kufanya kazi za kijasusi, ila kwa bahati mbaya au nzuri sikufanikiwa. Sasa baada ya juhudi zangu binafsi nimefanikiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.