Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

By Hillary Nsambu THE East African Court of Justice has directed the Community’s Secretary General to immediately convene a meeting of the Council of Ministers with a purpose to re-establish...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
President Museveni has insisted on introducing legislation in Parliament whose effect will be to scrap the constitutional right to bail for certain offences. Mr Museveni told NRM party MPs...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
My dears, Many of us withers (like a chicken that stagger after some waters has been poured at it) when arrested for some accusation. I therefore deem it expedient to use this opportunity to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Four elderly Kenyans won court approval Thursday to sue the British government over the brutality they claim they suffered at the hands of the British army during the 1950s Mau Mau uprising...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
wapendwa wana sheria, Nasikitika kuwa watu huwa wanaomba msaada wa kisheria kupitia JF, mtakubaliana na mimi kuwa response huwa ni chache na hazitoshelezi. Angalia threads za jukwaa la sheria huwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni moja ijulikanayo kama Kingsway International au maarufu kama American Garden inaajiri wafanyakazi bila mkataba wowote, na wakati wowote inafukuza wafanyakazi bila kufuata sheria ya kazi ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
ninajamaa yangu alimkopesha mtu pesa kiasi cha shilingi 420000tsh. Baada ya wiki kupita mtu aliyemkopesha akamfuata tena na kumuuliza kama kunakiwanja kinauzwa maeneo ya morogoro road. Jamaa yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu; Nataka kufahamu (a) iwapo umenunua mali ambayo iliibiwa mahali na ukakamatwa nayo sheria inasemaje? (b) Iwapo aliyeiba hiyo mali ambayo umeuziwa kapatikana, hapa napo sheria...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Afisa Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
please am making research on the occupational health and safety Act 2003 but am having trouble on understanding interpretation of work place. While i understood it to include hospitals one of my...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Slaa awasilisha ushahidi kumbana Chenge Send to a friend Friday, 08 July 2011 21:32 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa Geofrey...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba nifahamishwe kwamba diwani akijiuzulu udiwani, kwa kawaida uchaguzi wa diwani mwingine badala yake unatakiwa ufanyike baada ya muda gani tangu kujiuzulu kwa yule diwani? Kwa mfano, katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sheria ya ndoa inasemaje iwapo mtu ametengana na mke kwa zaidi ya miaka mitatu na walifunga ndoa kanisani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau kuna issue imeibuka hapa, dada mmoja kaniomba ushauri juu ya mambo yafuatayo; 1. Je iwapo mahakama ikatoa kibali cha kutolewa talaka, mtalakiwa (mke) ana haki ya kugawana mali ambayo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Bia zimeandikwa Haziuzwi kwa Mtu mwenye Umri Chini ya Miaka 18 Kumbi za muziki zimeandikwa hivo hivo. Lakini bado unakuta vitoto vidogo viko bar vinagonga ile mambo alafu ukiingia kumbi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa, Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) Eliezer Mbuki Feleshi atakua mgeni katika kipindi maalamu kitakachooneshwa na kituo cha Televisheni cha ITV muda mfupi kuanzia sasa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada wa softi copy ya sheria hizo
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu kapewa barua na mwajiri kuwa anahamishwa kituo cha kazi kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu. Tafsiri yangu huu ni uhamisho wa adhabu. Na ati hatakiwi kulipwa stahili zozote za uhamisho...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Nina mshikaji wangu huu mwaka wa tano anateseka kudai mtoto wake bila mafanikio. Stori ilikuwa hivi: Yeye kaoana na mmarekani walikutana alipoenda huko kimasomo, bahati mbaya mkewe aligundulika...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Habari za mwisho wa wiki wana JF, Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili: Kaka yangu alizaa mtoto nje ya ndoa, na akamtambulisha huyo mtoto kwetu sote hadi kwa wazazi wetu na ndugu wote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom