Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu ni kwanini chenge aue mtu kwa uzembe alipe laki sita harafu mwizi wa kuku miaka 3 bila faini.ua kwa kuwa sheria ni taaluma exacutive ina jali executive offences , na mahakama yetu kama pesa...
Kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner
Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea...
Serikali imepania kutunga sheria ya maandamano. Mimi hoja yangu si kujadili sheria hii mpya ambayo wanaJF mlishaijadili.
Mimi nawasilisha hoja mpya au kifungu kidogo cha hoja.
Huu ni wakati...
Leo tukio hili lilitokea mahali fulani Dar es salaam.Traffic police anasimamisha daladala. Anachomoa ufunguo wa gari. Anakagua mambo kadhaa kama leseni, bima nk. Gari inakutwa na makosa. Anaambiwa...
Ndugu wanasheria, naomba kueleweshwa sheria inasemaje katika tatizo langu na Tanesco.
Mimi ni mteja wa Tanesco kwa muda mrefu, na meter ninayotumia ni ya LUKU. Sasa ni Alhamisi iliyopita meter...
naomba msaada wenu:
nafahamu kuwa mtu akiacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja anapaswa alipwe pesa ya likizo ambayo hakwenda
meaning kwa mfano:
1. malipo ya mshahara wa mwezi aliotoa notice...
Eti wanasheria, najua hamna majibu uliza babu zenu kuwa kisawhili kiliwakosea nini nyinyi wanasheria halafu kwa mapenzi makubwa mniletee majibu. Katika chungulia chungulia yangu nilibaini mambo...
naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree...
Ni leo tu nimesikia wabunge wakihojiwa na kujibu kwa kukinzana kimtazamo ya kuwa ni wapi wanapaswa kuwajibika ikiwa wamefanya jambo linalokwenda ndivyo sivyo, ingawa kwa asilimia kubwa walio toa...
naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree...
Je mimi kama raia, naweza/naruhusiwa kwenda RM-Mahakamani na mwanasheria wangu, na kuwasilisha mahakamani ombi la inquest kwa kifo ambacho nahisi kama kuna foul play either huku uraiani au in...
Wakati fulani tulifanya mjadala: Je ni haki Mahakama kuamua baadhi ya maswala ya kisiasa? Mfano lile la Ugombea binafsi. Sheria iko wazi kazi ya Bunge nikutunga sheria na kazi ya Mahakama ni...
Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa:
1. Provocation...
Wataalamu wa sheria tafadhali naomba mnijuze kuhusu utaratibu wa ni jinsi gani Jaji mkuu anaweza kufukuzwa kazi endapo asipotekeleza majukumu yake sawa sawa. Ufahamu wangu ni kwamba Jaji...
Kunapokua hamna sheria iliyotungwa kusimamia jambo fulani, implication yakufanya jambo hilo ikoje?
Nikosa au sikosa, hasa ukizingatia negative impact zinazoweza kutokea kwa wale wasio na maslahi...
Wakuu wa hili jukwaa mimi nahitaji kujulishwa Hawa TIRA Nini haswa kazi zao??Nanini wanatakiwa kufanya kama mtu hajatendewa haki na Insurence's Company?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.