Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna Bwana afya Kata ya Kariakoo kwenye Manispaa ya Ilala anatishia usalama wa kazi za kiafya, yeye yuko na maafisa afya wenzie wawili yaani jumla ni watatu kwenye Kata hiyo isipokuwa yeye ni...
Jamani wana FJ naomba mnisaidie hasa upande wa sheria, mimi nina gari siku moja asubuhi na mapema nilimwomba mdogo wangu aendeshe gari kunipereka stand ya basi nilikuwa nasafiri, aliingia barabara...
Wakili maarufu jijini Arusha, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye akiba yake binafsi, zinazodaiwa kuingia kwa njia isiyo halali. Wakili huyo...
Niliingia mkataba na taasisi fulani kwa kazi fulani ya fasihi miaka kama mi 4 hivi imepita. Sijawahi kufaidika na mkataba huo asilani. Sasa nataka kuitumia kazi yangu hiyo kwa ishu zingine ila...
Mnamo mwezi wa kumi mwaka jana nilipata ajali ambapo niliumia kiasi na kulazwa kwa wiki mbili Hopspitalini, Dreva wa gari alifariki dunia papo hapo, Gari ilikuwa na comprehensive insurance na bima...
wakili maarufu mjini arusha ashikiliwa na polisi kwa order kutoka marekan baada ya kugundulika akaunt yake ya benki ya stanbic tanzania kua na kias cha tsh 40bill..wakili huyo alishikwa ktk gari...
Wanajamii naomba ushauri wenu wa kisheria.
Sisi wafanyakazi wa Hospitali ya mji wa NJOMBE iitwayo KIBENA tulihamishwa kuanzia Juni 2010 kutoka kwa mwajiri wetu wa awali ambaye ni DED - NJOMBE DC...
Jana jioni nilimsikia Mkurugenzi Mkuu wa EWURA akisema kuwa wametumia kifungu cha sheria (xyz?) kutoa "Compliance order" kwa Makampuni yanayosambaza na kuuza mafuta ...
Kwa wanaofahamu sheria za...
Mahama sasa at least Eti ule muswaada wa 20011 wa Uongozi wa mahakama vipi, unaompatia Mkuu wa mkoa uwenyekiti katika tume ndogo ya nidhamu, haileti ka mockery kidogo kwa mahakimu, haileti...
Jaji Werema mbona unatia mashaka na professionalism yako. Leo umejibu swali na Tundu Lissu (kuhusu mamlaka ya kuhamisha fedha bila mamlaka ya bunge) kama hakimu wa mahakama ya Mwanzo, and not as a...
EXEMPTION CLAUSE
XXXX imported a cargo worthy USD 75,000. XXXX engaged YYYY to handle the cargo. The contract to that effect was concluded. The contract, however, contains an exemption clause...
Kuna mtu anataka kuniuzia haki ya kukaa kwenye nyumba ya NHC yani mpangaji huyu anataka kutoka kwenye nyumba hii sasa anahitaji nimpe mil 5 ili aniachie haki ya kuwa na mkataba wa kuwa mpangaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.