Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wanajamvi? Kwanza poleni kwa makali ya mgao unaoendelea hivi sasa na bila ya kuwa na dalili ya makali ya mgao kupungua achilia mbali kuisha kabisa maana hata wakubwa wanalijua hilo...
Inheriting property by non Tanzanian
In our column of few months ago, we had addressed the issue of whether a non Tanzanian citizen, who was the beneficiary under a Will, could inherit a...
Naomba ufafanuzi,
Nataka kufungua kampuni yenye status Not for Profit making Company,
Je ni kodi gani au makadirio gani ambayo itanibidi kuyalipa mbali na ada za usajili pale Brella?
Ile kesi inayo mkabili mtangazaji wa shirika la utangazaji tanzania (TBC) Jerry Muro
upelelezi wake umekamilika na alitarajiwa kupandishwa kizimbani leo.
Kwa mdau yoyote aliye na habari za...
Great thinkers, Habari zenu! Tafadhali mlo na weledi katika taaluma ya Sheria, naomba kujua procedures kwa mtu aliyechezea kichapo cha mbwa mwizi! Kuna rafiki yangu jinsia ya kike but not gf baada...
Cabinet has finally thrown out the Anti-Homosexuality Bill, 2009 on the advice of Mr Adolf Mwesige, the ruling party lawyer. However, Ndorwa West MP David Bahati, the architect of the Bill...
FORMER Vice President Prof. Gilbert Bukenya is to appear in Court today to answer charges of abuse of office over vehicles procurement process.
Senior Principal Grade One magistrate Sarah...
I was married to a Tanzanian man who has been mistreating me so much and insulting me and even beating me up and chasing me out of his home, I decide to leave and I want to divorce him. I was...
THE TANZANIAN LAND ACTS, 1999:
THE TANZANIAN LAND ACTS, 1999:
AN ANALYSIS OF THE ANALYSES
Robin Palmer
Land Policy Adviser, Africa
Oxfam GB
March 1999
Introduction
On 11 February 1999...
Je wajua kuwa Sheria ya Ndoa ya Tanzania ni matokeo ya muswaada wa sheria ya Ndoa iliokataliwa kupitishwa na wabunge nchini Kenya, ndipo sisi tukaichukua nakuibariki kuwa sheria? Muhoji mbunge...
Habari ya kazi wadau?nimeipitia hii hukumu iliyotolewa na Judge Faudhi Twaib ambayo amekubali ardhi kupewa mgeni (non-citizen) kwa njia ya urithi, hebu ipitieni na nyie muone kama kweli inaleta...
Agricultural Tax Laws in Tanzania
Agricultural taxation in Tanzania is a potential area of barriers to trade, if not well planned. To promote agriculture, the government starting from 2000 has...
Eti ule muswaada wa 20011 wa Uongozi wa mahakama vipi, unaompatia Mkuu wa mkoa uwenyekiti katika tume ndogo ya nidhamu, haileti ka mockery kidogo kwa mahakimu, haileti ka judicial interference. Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.