Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakati umefika wa kuandaa maandamano makubwa ya kulaani mauaji ya vikongwe na albino ktk ukanda wa magaribi!
Mimi nilifikiri imani hizi zimekwisha lakini kwa mujibu wa BBC kiswahili mauaji ya...
The Chief Justice, Benjamin Odoki, on Friday decried the interference by African governments on the independence of the Judiciary, noting that the intrusion has been pronounced in the states...
MAMABO YANAYO TAKIWA WAKATI WA KUMPEKUA MRUHUMIWA
KUNA mambo kadhaa ambayo ndugu msomaji unatakiwa uyajue, pale ambapo mtuhumiwa wa kosa la jinai anatakiwa afanyiwe wakati wa kumpekua na...
Ni lazima watu wanaovunja ndoa wawe na sababu ya msingi? Kwenye State kama Michigan (US) wana kitu kinaitwa "no fault divorce" yaani haiitajiki kuwepo kosa kwenye ndoa kumfanya mtu atake...
TANZANIA KUTUNGA SHERIA KUHUSU DNA
CHAPTER ONE
1.0 INTRODUCTION AND BACKGROUND INFORMATION
1.1 Mandate
The Law Reform Commission of Tanzania (in this paper to be referred to as the...
By Evelyne Kwamboka
Confirmation hearings against first three Kenyans at The Hague ended with spirited defence statements by the lawyers for the suspects and a strong fight-back by Prosecutor...
Suala la kufutwa kwa hati ya kukamatwa Askofu Mokiwa lina mambo mengi ndani yake yenye kutia shaka juu ya uwezo wa MAJAJI wetu kuisimamia sheria na pia siasa kuingilia uhuru wa mahakama kwani...
Nina jirani yangu ambaye nyumba zetu zinatazamana tunaishi pamoja maeneo ya Bunju, leo jioni nilimtuma mwanangu akamfungulie ndama ambaye alikua amefungwa nyuma ya uzio wa nyumba yetu. kwa bahati...
Wanasheria tunaomba ufumbuzi wa utata wa kisa hiki.
Mama mmoja (mfanyakazi ya kuajiriwai) alifiwa na mumewe (hakumwachia watoto) ila aliachiwa kiwanja ambacho kilikuwa kimejengwa uzio wa ukuta tu...
Hivi hii kesi nyingine ya Liyumba ya kukukwa na simu gerezani mbona mi sielewi, inakuwaje anakutwa na simu gerezani? Yaani iliingiaje na hiyo simu? Au kuna wafungwa wengine hawakaguliwi wakitoka...
Ndugu wapendwa,
Kuna suala moja naona kama lina walakini, na ningepata wasaa ningemshauri Waziri wa Ardhi aliangalie kwa makini.
Mtu umejipinda ukapata pesa kidogo ukaingia maeneo ya Mbezi...
Ile kesi ya post election conflict iliyotokea kenya sasa ivi inaunguruma Live kutoka the Hague na kurushwa na kituo cha TV cha KBC. Wadau mlio karibu na luninga mnaweza kutazama. Na sasa iko...
Kuna sheria nyingi sana mfano, sheria za ndoa, ardhi, kazi, n.k. Mimi binafsi kwa kifupi ndiyo kwanza nimeanza kujitegemea ktk hili nimeanza kukutana na mambo mengi nahisi yanakanganya sana na hii...
Habari za kusitua sana gazeti asubuhi hii limesomwa likieleza kuwa Twiga wamo hatarini kutoweka ,asilimia 20 ya twiga wafyekwa kila mwezi,huyu maige si ndie aliyekataa wazo la Raisi kutumia jeshi...
Naomba wajuzi wa sheria mumsaidie ushauri wa nini afanye huyu dada kwa kisa cha kweli kilichompata kazini kwake.
yeye anafanya nyumbani kwa afisa ubalozi (mzungu) wa moja ya balozi za nchi za...
Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.