Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Are non Muslem lawyers allowed in kadhi courts?
Can a non Muslim lawyer allowed to appear before Kadhi court and/or acting/represent a Muslim client? Do you think it will be a waste of time as...
mi ni afisa wa kata,leo nimekamata fataki kijijini kwangu,anamuoa mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wiki iliyopita,tafadhari tusaidieni wasomi wetu sheri inasemaje ili...
mama mwenye mimba anapohukumiwa kifungo na kisha akajifungulia jela , hapo inabidi atumikie kifungo yeye pamoja na mtoto wake mchanga ili aweze kumpa mahitaji yake muhimu.. je hapa si sawa na...
KATIKA nyumba tunazoishi kila mtu anahitaji kuwa huru akijisikia kufanya atakalo yeye binafsi au pamoja na familia au jamaa yake. Hii ni pamoja na nyumba zile zenye wakazi au wapangaji wengi wa...
Its a long story. I once had a very loving Dad. We used to leave in nairobi then back to Moshi kilimanjaro. Our Dad got a scholarship for 4 years in Canada. Fortunately he went with our mum. On...
DO NOT TAKE THEM TO COURT DO THIS:Last night during Obama's Los Angeles event at the House of Blues, some guy mustered up the guts to shout at the top of his lungs at the President, alternating...
Nduguzangu wana sheria, naomba kufaham kwakina,juuya ulinzi shirikishi. Nilazima kwa kila mtz. Au nilazima kwakila mkoa. Au nilazima kwakila ,wilaya,kata,kijiji,au kitongoji?.huku kwetu ughaibuni...
Nishangaa sana hii nchi na kamwe sitaacha kushangaa, kuna huyu mtu anaitwa director of public prosecutions, sidhani kama jamaa anauwezo wowote kwenye hii kazi kwani hakuna hata shitaka moja kubwa...
MAMLAKA ya vyombo vya baharini Zanzibar, zimesimamisha huduma za meli tano kutokana na meli hizo kutokidhi viwango vinavyotakiwa kusafirisha abiria na mizigo.
Meli zilizositishwa safari ni...
Nina rafiki yangu ambye ana mchumba wake aliye ishi naye kwa zaidi ya miaka mitatu,akiwa anafahamika kwa wazazi wa msichana kwani ametoa posa na kujitambulisha pia.mwezi huu msichana huyo...
Mh Pinda kaja juu, ati kama Polisi wameshindwa kuzuia uvushaji wa sukari kwa magendo kwenda Kenya, Serikali itatumia JWTZ! Siku mbili baadae Makao Makuu Polisi wanadai kuwa Polisi imejipanga...
Hivi watanzania waliolewa na foreigners inapotokea kaachwa na hajalipwa haki zake sheria gani inamsaidia mtanzania kama huyu ili kupata msaada,,ikiwa pia kaachiwa na watoto? Na foreigner kasharudi...
Siku hizi kumekuwa na mtindo ambapo mtu mwenye kiwanja anamkodishia mtu mwingine ajenge frem ya duka then awe mpangaji.
Sasa huyu jamaa yangu kaingia mkataba wa aina hii na mwenye kiwanja na...
Sun, Sep 25th, 2011
| Tanzania
Fake permit
The Immigration Department processed and granted fake resident permits to 43 Pakistan nationals, enabling them to work in the country...
Wakuu, hasa wajuzi (wataalamu) wa mambo ya sheria/mahakama, naomba mnijuze: Mara nyingi huwa nasikia mtuhumiwa anafikishwa mahakamani, say Kisutu kusomewa shitaka fulani, baadaye inasemwa kuwa...
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni...
Mimi sio mwanasheria na pia naomba kujua sheria inachukua mkondo gani endapo mtu anawaita watu na mbele ya makamera jamii au ulimwengu wote wakamsikia akidai atajiua? hii ni mujibu wa sheria zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.