Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habari zenu,
mimi ni mgeni katika jukwaa hili,naomba ufafanuzi kidogo kwenye hili jambo.
1.mtu anaepaswa kupewa cheti cha kuzaliwa hata mtoto ataezaliwa lazima awe ni mtanzania?
2.je kama...
International Criminal Court prosecutor Luis Moreno-Ocampo and victims lawyer Morris Anyah have asked judges to dismiss the challenge on jurisdiction lodged by two of the suspects in Kenyas...
Kuna ndugu yangu anafikiria kuacha kazi ila anapata utata kwasababu anataka kuacha mshahara wa mwezi husika. Sasa ili aweze kuacha mshahara wa mwezi husika anatakiwa awe amafanya kazi siku ngapi...
Wataaam wa sheria
Binafsi ni mwakateniki zaidi. Naweza kutumia google laini napend nipate maelezo meppesi kwa wataalam wetu wa sheri hapa JF yanaweza kutusaidia wanajamvi wengi. Huku wakitolea...
Dear Friends,
There is a significant difference in wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
My query is how these...
Habari kwa wanaJf wote.
Ndugu zangu naomba msaada juu ya suala lifuatalo:
Kuna mdogo wangu alikuwa anafanya kazi na moja ya makampuni ya kigeni hapa nchini kwetu, na wakati anaajiriwa alibahatika...
Kanuni hizi zimetungwa chini ya Sheria ya Mahakimu (Magistrates Courts Act) Sura ya 11 ya Sheria ya Tanzania na zipo kwenye juzuu la Sheria la Mwaka, 2002 (Revised Edition, 2002) hadi sasa...
Malawi's President Bingu wa Mutharika has turned to the courts in his deepening feud with his deputy, his lawyer said Wednesday, in a move aimed at finding a way to push her from office...
Mtoto anamiaka 2.5 imetokea kupata maradhi ya mara kwa mara hii inatokana na turnover ya maisha ya mama na baba kuwa magumu.
Maamuzi:
mama mkwe(upande wa mme) kamchukua mtoto na kwenda kumlea...
Naomba mwenye taarifa za kampuni iliyopewa tenda ya kuzoa takataka eneo la mikocheni B. Yaani kampuni hiyo ipo eneo gani? Pia kama unarisiti au invoice unaweza kuitundika hapa. Je watu wa manispaa...
Wabunge CHADEMA kortini leo Na Moses Mabula, Tabora KESI inayowakabili wabunge wawili wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na mjumbe mmoja wa Baraza la Vijana la chama hicho leo...
By DAVID OCHAMI and CYRUS OMBATI
ICC Prosecutor Luis Moreno-Ocampo will tell Pre-Trial Chamber II judges in his final written submission that the strategy by defence lawyers in the second...
Wadau,kwa mujibu wa sheria za kazi za Tz,nini tofauti ya annual leave na unpaid leave?Na je vyote ni sawa?Au je,mwajiri anaweza ku'define' anavyojua yeye au tuseme kutumia maneno haya...
Kuna jirani yetu hapa, wameletewa summons za mahakamani lakini jina la aliye shitakiwa kashafariki.
Je unaweza kuweka pingamizi la kisheria???? Kama ndiyo utatumia mamlaka gani ili kushinda...
Habarini ndugu zangu, nataka kujua iwapo umemfumania mkeo/ Mumeo
akifanya tendo la ndoa. Je iwapo umemuua muhusika iwe mkeo/mumeo au huyo
mgoni wako au wote kwa pamoja sheria inasemaje?
Wafanyakazi wa kampuni ya simu wamehamisha salio kutoka kwenye simu yangu kwenda kwa watu nisiowajua bila mimi kujua wala bila kutumia simu yangu ya kiganjani. Haki yangu kisheria ni ipi?
Wanajanvi hasa hili la sheria naomba msaada wenu muhimu.
Babu yangu anamiliki ardhi na shamba la miti hapo hapo.Kuna taasisi ambayo inataka kujenga chuo hapo kijijini na tayari imenunua viwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.