Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau, mwaka 2008 Mahakama ya Kazi ilitoa hukumu dhidi ya mgomo wa Waalimu kupitia CWT saa 8 usiku! Hiyo ilikuwa historia ya pekee nchini mwetu.
Leo huku Arusha, inasemekana Mahakama imegoma...
Wanajf wenzangu naomba mnieleweshe hili, ni vifungu gani vya Criminal Procedures Act vinawapa Police wenye rank ndogo kuendesha mashtaka as Public Prosecutors tofauti na sheria inavyotaka eti kuwa...
Jamani naomba msaada wa kisheria, mwajiri anapokutuhumu kwa kosa flani kwa kukuandikia barua na wewe ukamjibu halafu anakaa mwaka mzima bila kukujibu badala yake anaunda tume kukuchunguza baada ya...
wana jamii, nahitaji msaada wenu juu ya hili! je naweza kosa haki yangu kwa kutokujua sheria? sikulipia mzigo wangu insuarance, now umepotea, naambiwa siwezi rudishiwa exact value ya mzigo wangu...
Habari Wakuu,
Naomba mwenye reference ya wapi naweza kupata sheria ya dhamana atoe hapa, au kama anayo aweke hapa, maana nimesoma habari ya Lema na kushtuka pale hakimu alipogoma kukubali dhamana...
International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR)
The Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) is currently preparing its employees psychologically through counselling sessions and empowerment...
Wakuu naomba kujua kama kuna maximum probation period, na je mtu aliyekaa kwenye probation time zaidi ya miezi 20,job termination yake itakua sawa na yule aliekaa kwenye probation time for 6 months!!!
Ni jambo la kusikitisha jinsi Watanzania, hasa sisi watumishi wa serikali, tunavyoendelea kukandamizwa na baadhi ya viongozi wa serikali walio madarakani lakini tanaogopa kutoa malalamiko...
hello wanajamii forums Jukwaa la sheria Naomba kuuliza je kampuni inaweza kushitakiwa kwa makosa ya jinai na ya civil pia naomba kujua kama member wa kampuni anaweza kuwa agent wa kampuni
Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba...
How and when received laws can be applicable in our courts of Tanzania?atakae toa mchango naomba anipe na references/source please!natanguliza shukran.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Naomba kujua ile sheria ya kutunza mazingira ya ziwa kama Victoria ambayo zamani tulijua inasema ni meta 30 na siku hizi baadhi ya mamlaka zinasema ni meta 60 inasemaje? Hizi meta 60 au 30 ni kwa...
je sheria za mazingira zinakidhi mahitaji ukizingatia na changamoto za kimaendeleo kila kukicha? hususani maeneo ya mijini na sera ya kupanua miji kwa mfano jiji la arusha na mchakato wake wa...
Mm ni kat ya wanafunz[equivalent] waliopata chuo nikakosa mkopo; kilichoniuma zaidi ni kwa nn bodi icnge2ambia kabla ya kufanya aplication kuwa eqvnt hatutapata mkopo? matokeo yake wanasbr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.