Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hivi mtu akitumia chombo cha habari kutangaza au kuandika habari ambayo baadae mahakamani mtu huyu anakiri kuwa hana uhakika na alichoandika/kutangaza anachukuliwa hatua gani kwa mujibu wa sheria?
Watanzania Hebu tuungane wote kuzipongeza kamati teule za bunge. Kila mmoja atakubaliana na mimi kuwa kweli wanatufanyia kazi nzuri ambazo sielewi bila hizi kamati tungekuwa wapi leo...
Inatiamoyo Majaji wastaafu kutoa tamko lao kuhusu Muswada wa katiba na kutaja upungufu unoonekana wazi wazi. Jambo hili ni lakuunga mkono pamoja na wengine wengi walioko mstari wa mbele...
Do we have any labor act that is for or againt any employer making his/her employees guarantees each other on the loans they take? This is in banking sector or any sector where employees have...
Kwa sasa watu wamegawanyika ktk makundi mawili.
Kuna linaloona kwamba maandamano wanayofanya CDM ni uvunjaji wa sheria, na kukaidi amri halali ya jeshi la polisi.
Lakini lingine linaona kwamba...
Habari zenu wana JF.
Naomba mnisaidie.
Mimi nina mdogo wangu wa kike ambae anasoma kidato cha tatu, ameyakimbilia maisha hivyo amepata ujauzito.
Aliyempa ujauzito alipoona hali imekuwa ngumu kwake...
Ndugu habari za shughuli,
Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama...
PAMOJA na dhamana kuwa haki ya msingi ya mshitakiwa, katika kesi ya Mbunge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema (Chadema), Mahakama ina haki ya kuizuia dhamana hiyo.
Wakizungumza na gazeti hili hivi...
lawyers please help answer the following qn"in the ligth of modern formulation of the rule of law,how far is the application of the doctrine of law in tz.with practicle example lets substantiate...
Helo.
Kwa anayeifahamu sheria ya Adoption
Je ina mruhusu mtu aliye single kuadopt??
Na kama aliye adopt ni female anaweza kumpa sir name yake mtoto aliyemu adopt?
Masaada Please!
Wanajamvi nina kijana wangu alifanya interview ya kazi TANESCO, kama kawaida majibu yanafuata bgaadae. Baada ya wiki mbili kijana wangu alitumiwa barua iliyosainiwa na meneja wa Tanesco ikimpa...
nimekuwa nikisoma mara nyingi sana kwamba ofisi kama TRA wamejazana wachaga,TBC wanyakyusa etc.sasa nawauliza wandugu mnajua sehemu kubwa ya judiciary imeshikwa na wahaya?Robo tatu ya maicharge wa...
Wadau nawasalimu!<br><br>Nimetembelea wavuti ya The global Publisher leo tarehe 11-11-11 kujaribu kupata habari mbalimbali za yaliyojiri katika sehemu hii ya wadau wa habari pamoja na wengine...
Wana JF mliobobea katika sheria za kazi. Hivi nikichukua likizo ya uzazi ya siku 84 sitakuwa na haki ya kuchukua likizo yangu ya mwaka ya siku 28? nisaidieni
The Leader of Rubaga Miracle Center Cathedral, Pastor Robert Kayanja this morning took to the witness stand to testify against four fellow pastors who together with two believers allegedly...
Hello Wadau,
Naomba msaada wa link ambayo naweza kupata the three Basel Accords.
NImejaribu sana naishia kupata definitions au explanations za wikipedia.
Kwa yoyote anayeweza kunisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.