Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

wataaalam wa sheria Tumesikia tunaambiwa taifa etu halina wataalam wa kutosha wa kuwezesha kuandika/ kunegtioate mikataba yenye manufaakwa tifa Tumeshuhuhua utata wa mikataba miubwa ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani zangu wana-jukwaa...mimi ni kijana ambaye nimemaliza chuo kikuu mwaka huu. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimesoma elimu yangu yote mpaka hapa nilipofika kwa jina la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamii naomba kujuzwa nini athari inayoweza kutokea iwapo mkataba uliosaini ktk ajira umeisha,mwajiri hasemi lolote ila anaendelea kutoa majukumu ya kazi tu na analipa mshahara kama kawaida.Je...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hodi jamvini,great thinkers!! ndoa yangu ni ya kikristo na imedumu kwa miaka 8 sasa na kupata mtoto mmoja wa kiume wa miaka 6. kumekuwa na kushutumiana na kutoaminiana mimi na mke wangu kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A man convicted of a 1998 terrorist strike on the U.S. Embassy in Tanzania has won the right to sue the federal government over tight restrictions on his visitors and letter-writing at the...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Law & associates Imma advocates Mkono Advocates Fungamtama Karume Kalunga Rex attorneys
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi naomba kujuzwa sheria ya kumuhamisha mtu katika makazi yake kima cha chini kabisa ni kumlipa shilini ngapi? Na vigezo gani vinaangaliwa kwa ujumla unapomtoa mtu katika makazi yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua yafuatayo sheria inasemaje. Mfano mwanaume ameoa mke wa ndoa na hawana watoto kabisa na ikatokea yule mwanaume akafariki na wakati kabla hajafariki aliacha osia kuwa atakayeridhi mali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajf mi natafuta nikinunue kitabu cha human rights in tanzania cha chris peter maina nimezunguka maduka la dar es salaam printers, tanzania publishing house,scolastica bookshop bila mafanikio...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Foreigners owning huge tracts of land, whose lease is about to expire, are likely to lose their prized assets as the government starts to enforce the law on land ownership. The move will...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Kipindi cha UNU ( Usalama barabarani na Uraia) - kinaendelea sasa hivi TBC. Traffic anafundisha raia usalama na utumiaji Mzuri wa barabara. Nani asiyejua chanzo cha matatizo makubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo mida ya saa moja na nusu nilikuwa napita barabara ya New Bagamoyo pale mitaa ya Lugalo, kulikuwa na kifoleni cha kiaina. Basi km kawaida watu wa pikipiki wakawa wanatanua, kufika hapo lugalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama kuna mtu ana nakala ya maamuzi yaliyotolewa juzi na mahakama kuu (Judge Mushi) kesi ya TANESCO V DOWANS naomba aniwezeshe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nahitaji kufahamu ni sheria ipi inayohusiana na uhifadhi wa majina, katika media
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JUGDEMENTS OF AMATUS LIYUMBA IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU CRIMINAL CASE NO 105 OF 2009 REPUBLIC VERSUS AMATUS JOACHIM LIYUMBA JUDGMENT OF...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hukumu yake yenye kurasa zaidi ya 100.Jaji Mushi wa Mahakama kuu,ametupilia mbali maombi ya Tanesco katika kuipinga tuzo iliyotolewa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi.Ninatafuta nakala...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Suala la kuwalipa tuzo dowans za mabillion ya shillingi linanipa mashaka mno na watu tuliowapa dhamana ya kuliongoza taifa hili, juu ya uzalendo wao na jinsi gani wanavyojitolea kwa manufaa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wamemuua mchungaji wa kimasai,ndugu zake wamedai hana hatia yoyote ,wamegoma kuzika mpaka aliyemuua akamatwe! RPC Morogoro adai aliyeuawa alikuwa mwizi sugu wa Ng'ombe.Source ITV taarifa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo asubuhi jamaa yangu alikuwa amekuja kuchukua gari yake akielekea Zimbabwe. Alipofika kwenye kituo kimoja km 20-30 hivi kabla hajafika Tunduma mpakani askari wa Tanzania wakamsimamisha na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kwa MoU kati ya wakristo na serikali "serikali imevunja katiba ibara 19 inayosema .."serikali haina dini......na shughuli za kuendesha taasisi za dini zitakuwa nje ya serikali...." Je..fedha...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom