Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna ofisa mmoja ni kiranja katika idara ya serikali, kwa nia nzuri na uzalendo ofisa huyo alimlima karipio kali kulingana na kanuni mmoja wa watumishi kwa utovu wa nidhamu, kumbe huyo jamaa ni...
SOURCE;HABARI LEO
Imeandikwa na Hellen Mlacky; T
JESHI la Polisi nchini limewataka watu wenye uchu wa madaraka kusubiri uchaguzi wa mwaka 2015 na si kupotosha umma kwa kufanya uchochezi...
Mkuu ZPC
najua katika utendaji wa kazi za kipolisi kuna minor cases na Sensitive cases ambazo handling zake pia ni tofauti,hoja yangu inajikita kwenye case Nyeti zinazohitaji umakini wa...
By Evelyn Kwamboka
Standard
Attorney General Amos Wako has finally lodged an appeal aimed at overturning the ICC Pre-Trial Chamber IIs decision, that declared cases against the six Kenyan...
Source: Wapo FM - YALITYOTOKEA
Mchungaji na pia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Pomelini wilayani Kilolo kwa Wanyalukolo mkoani Iringa, amezawadiwa mvua hiyo na Hakimu moja mkoani humo jana...
Hi wapambanaji. Someni tarifa ya takukuru ya rushwa, polisi wanaongoza kwa ufisadi, na chagonja,mwema, manumba wanafaidika na hili, so hawawezi kutenda haki dhidi yenu chadema wasema kweli na...
Nimemuona kamishna wa operation na mafunzo wa Polisi Bw.Chagonja akielezea kuhusu kukamatwa kwa Mbowe.
Napenda nimkumbushe tukio dogo tu mabalo halijasahaulika nalo ni kushindwa kumkamata...
Monday, 06 June 2011 07:55 newsroom
Na Rashid Mussa, Mtwara
MBUNGE wa Mtwara Mjini, Hasnein Murji amekionya chama cha CUF kwa kuendesha siasa chafu dhidi yake na CCM, hali inayohatarisha...
Nairobi
The most vocal criticism of Dr Willy Mutunga, the current appointee to the position of Chief Justice, is that he spots an ear stud, is in the midst of a second divorce, and is a...
The Citizen (Dar es Salaam)
Makwaia Wa Kuhenga
2 June 2011
opinion
The above heading may sound a little alarmist. But given the indecision of the powers that be at the helm of Tanzanias ruling...
Juzi juzi nilisoma habari katika moja ya magazeti ya kila siku, likiripoti kwamba Mbunge wa Mvomero Mheshimiwa Amos Makalla ametoa msaada wa mipira 23 pamoja na seti za sare za michezo kwa vikundi...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Waandishi Wetu
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe jana alitiwa mbaroni na Jeshi la Polisi baada ya kujisalimisha katika kutuo Kikuu cha jijini Dar es...
Tanzania kumekuwepo na mtindo wa Watu binafsi na Makampuni mbalimbali kuajiri wafanyakazi pasipokufuata mashariti yaliyowekwa na serikali kupitia sheria za kazi(ELRA No.6 na LIA No.7 za 204)...
Standard Newspaper
All the Ocampo Six cases will now proceed to confirmation hearing after Government failed to stop them through an admissibility challenge and claims of fresh CID...
Heshima kwenu wana jf.kwanza kabisa natoa shukrani kwa wote ambao mmekuwa mkitoa ushauri na maelekezo ya namna ya kutatua matatizo. Ndg zangu kuna jambo nimelisikia eti kati ya kesi 100...
Kwa kutokuelewa,au kutokujua,baadhi ya wafanya biashara wameshindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru kufuatia marufuku iliyowekwa kwa amri(sijui) au kwa sheria(sijui) kusafirisha mazao ya chakula...
Ndugu wa marehemu na watu waliokatwa miguu, kwa ajali aliyoisababisha Jaji Rugazia, bado wanasumbuliwa na Jaji yupo kazini na wala hajafikishwa mahakamani, au kutoa tamko lolote li haki itendeke...
Asalaama Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.
Wana Jamvi, hivi ndoa ya Kiislam inaruhusu mwanamke kutoa talaka pale mwanaume anaposhindwa kufanya hivyo? Kama ni kweli ni hatua gani zichukuliwe ili...