Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
KIONGOZI wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (chadema) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja Sh 600,000 fedha za mfuko wa Elimu wa wakazi wa...
Mambo aliyodanganya Dr. Slaa
1. Kwenye Rada kulikuwa na Rushwa
2. Kuna wizi wa EPA ulifanyika
3. Kuna rushwa katika ununuzi wa ndege ya Rais
4. Kuna Rushwa kwenye ununuzi wa umeme wa...
Nimetazama documentary moja kuhu Miami Mega Jail. I have just been shocked kuona kumbe baadhi ya jela/ Rumande za huko USA hazina tofauti na jela zetu.
Tena mbaya zaidi hizo kwao sio Jela ni...
Naombeni mnisaidie maswali haya.
1. If the International Court of Justice could not find solution in one source to settle a dispute between two nations it has to refer to another? Explain in...
wana JF naomba kujuzwa kujua sheria inayo govern online defamation na pia katika sheria za Tanzania Internet service provider ni wakati gani atakuwa liable na kwa sheria gani
Bandugu,
Ninakaribia kurudi nyumbani, ila nina vitabu ninavyovitumia binafsi kwa malengo ya elimu. Nakumbuka kusikia kuna vitabu vilishawahi kupigwa marufuku Tanzania (najua vingine kwa uhakika...
Wanasheria naomba msaada wenu.
Hivi kama mtu ana ndoa ya kanisani(RC) na baadae akaenda akafunga ndoa kiserikali(civil) je
1)kote huko anapata vyeti?Maana nasikia kote huko vyeti vinavyotolewa ni...
NDUGU JAMAM NA MARAFIKI NIMEONA WATU WENGI WANAULIZA NANI ANAHAKI KUFUNGISHA NDOA NA NDOA IPI INAYO TAMBULIKA KISHERIA NA NANI ANAYR RUHUSIWA KUFANYA HAHYO???
NIMEONA NIWASAIDIE KUWA MWONGOZO...
Brazils Supreme Court has issued a ruling making same-sex unions equivalent to marriage.
Auxiliary Bishop Henrique Soares Costa of Aracaju, Brazil said the courts ruling was anti-democratic...
Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Serikali imepima viwanja vipatavyo 20,000 huko Kinyerezi> Lengo kuu la uanzishwaji wa upimaji huu ni kuhakikisha kuwa Watanzania wanaacha ujenzi holela, wanakuwa na...
Habari zenu wana JF.
Rafiki yangu anatuhumiwa katika kesi, jana baada ya kufika mahakamani na kusikilizwa kesi yake
kwa mlalamikaji kuleta shahidi Hakimu wakati anaahirisha kesi alimwambia...
Nyumba ya Kikwete yazua utata
Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa kuchukuwa nyumba ya mkazi mmoja wa dare s Salaam na kuigeuza yake, MwanaHALISI limeelezwa.
Nyumba hiyo iko kiwanja namba...
Nimeona niulize kwenu wana jf suala hili la jinsi polisi wa nchi hii wanavyoendesha kesi za jinai,
Utaona polisi anakamata au analetewa mtuhumiwa kituoni na kumuweka ndani yaani mahabusu kasha...
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, amevamiwa na wezi katika nyumba ya kulala wageni na kuibiwa fedha taslimu pamoja na kila kitu alichokuwa nacho chumbani kwake.
Tukio hilo lilitokea...
wana jf sect 43 ya ELRA states that where an employee's contract is terminated the employer shall pay for the transportation of that employee to the place of recruitment.
swali langu ni; kwa kuwa...
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki, ametishia kujiuzulu endapo itathibitika kuwa amechakachua posho katika milipuko wa mabomu iliyotokea katika kambi ya Jeshi Gongo la...
Wajameni nachukua LLB-Tumaini Iringa,1st yr,cna mkopo na mambo ni tight(uchumi) kuliko navyoweza kusema.naomba km kuna m2 anaweza kunidirect walau nipate sponsor(ship) anisaidie, atakuwa ameokoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.