Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
kutokana na serikali za wanafunzi vyuo vikuu kama vile DARUSO, UDOSO na vingine kutosajiliwa hivyo kukosa mamlaka ya kuwa separate legal entity kushindwa kushitaki na kushitakiwa (to sue and to be...
Ma great thinker, hivi ukipata ajali barabarani labda umegonga gari la watu kwa nyuma kisha askari wa usalama barabarani akaja eneo la tukio kuangalia hiyo ajali na nyie mkikubaliana kulipana...
Kikwete kuitwa mahakamani
Na Saed Kubenea - Imechapwa 04 May 2011
RAIS Jakaya Kikwete ametajwa kuwa mmoja wa mashahidi "muhimu sana" wa Profesa Costa Ricky Mahalu anayekabiliwa na...
Imeandikwa na Shangwe Thani, Shinyanga; Tarehe: 7th May 2011
WATU watatu akiwemo mgombea ubunge aliyeangushwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Kishapu, mkoani...
Habari za kazi wana JF?Nina Babu yangu amestaafu kazi tarehe1/12/2009,akiwa idara ya maji Tabora mjini.Mpaka leo bado hajalipwa malipo yake ya kuustaafu.Kila kinchohitajika tayari...
Retired President Benjamin Mkapa will be among key witnesses to testify in defence of Prof Costa Mahalu, who is accused of causing the government a Sh2.5 billion loss in the alleged fraudulent...
BEST LAWYER STORY OF THE DECADE
Charlotte, North Carolina. A lawyer purchased a box of very rare and expensive cigars, then insured them against, among other things, fire. Within a month, having...
DIWANI wa Kata ya Kwakoa wilayani Mwanga, Dk. Rogers Msangi amekieleza kikao cha Baraza la Madiwani wilayani humo, kwamba amechoka kugeuzwa kuwa pikipiki ya kubeba abiria maarufu kama bodaboda...
Nimesikia kwenye taarifa ya habari itv kwamba sababu iliyomfanya bi. Josephine Mushumbusi (mchumba / mke wa Dr. Slaa) ashindwe kutinga kortini ni kwamba ni mjamzito so ana maternity leave...
Mahakama ya Mkoa wa Shinyanga imemwachia kwa dhamana Mbunge wa Meatu, Meshack Oporukwa (Chadema), baada ya kushikiliwa kwa saa 24.
Akizungumza na NIPASHE jana kwa njia ya simu kutoa mkoani humo...
Sheryl Cwele, wife of
South Africa's intelligence
minister, has been
convicted of drug
trafficking.
Cwele, married to
Siyabonga Cwele, recruited
women to smuggle drugs
into the country...
Wadau,
Hivi ni kweli kuwa kuna sheria mpya inayomtaka mpangaji kulipa kodi ktk kipindi cha notice -- yaani kipindi ambacho anatakiwa kuhama baada ya kupewa notice?
Jamani, naomba msaada wa kisheria kwa ajili ya kupata malipo ya bima ya ajali iliyogharimu maisha ya mjukuu wangu. Gari lililomgonga halikuwa na bima. Je nitafunguaje kesi ya madai hayo.
Nilikuwa naelekea mjini nikiendesha gari langu na nikagongwa ubavuni kushoto na gari la jamaa aliyetokea kwenye barabara ndogo akakimbia nikaweza kuchukua namba ya gari lake, nifanyeje nipate...
Tendwa decries cheats in poll expenses returns
By Dominic Nkolimwa
14th January 2011
Registrar John Tendwa
With only three weeks left before the Registrar of Political Parties closes...
Ni kutokana na waajiri wake yaani madiwani kufanya maamuzi na mkurugenzi huyo kupinga. Kama serikali watamkingia kifua Chadema watamfungia nje. Walifanya hivyo Karatu na wanaweza kufanya moshi...
Chama cha demokrasi na maendeleo chadema kimesema kitachukua hatua za kumfukuza kazi mkurugenzi wa manispaa ya moshi kama ataendelea na tabia yake ya kususia vikao na kuwaacha madiwani na meya wa...
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema uongozi utawachukulia hatua kali za kinidhamu madiwani watatu wa chama hicho mkoani Arusha, wanaotuhumiwa kukisaliti kwenye hoja ya kumtambua...
A three-day strike beginning tomorrow has been announced by the Uganda Law Society as an expression of displeasure at the governments high-handed clampdown on the walk-to-work protests against...
Katika hali inayoonyesha kuogopa kasi ya madiwani wa chadema,mwanasheria wa halmashauri ya Arusha Bw Paul Mugasha,ameomba kuhamishwa ghafla,na sasa ataripoti Mwanga kwenye kituo kipya cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.