Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu nina swali naomba mnisaidie, Hebu chukulia unatoka Dar kwenda Arusha: kufika Chalinze ukasimamishwa na trafki akagundua kuwa huna Fire Ext, ukalipishwa faini kwa hilo kosa, je ukikutana na...
Gazeti la Mwanahalisi limeripoti ya kuwa Dr. Slaa kumshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mypa................
Nionavyo hii sasa ni purukshani ya mfa...
Makamu wa Rais, Dr. Ghalib Bilal
Wakati akiongea kwenye maazimisho/ sherehe/ sala ya Idd El Hajj ya kitaifa kwenye Msikiti wa Simbambali uliopo wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam tarehe...
Wabunge wa CHADEMA
Mara baada ya Rais kuanza kuhutubia Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano tarehe 18/11/2010 wabunge wa Chadema ambao wanaunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni walitoka nje ya...
Kamati Kuu ya CCM
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea Uspika kwa tiketi ya CCM, iliamua kutoa upendeleo kwa wanawake kwenye kiti hicho na kuwaengua wanaume wote akiwemo Mhe. Sitta na Chenge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete
Rais kwa mujibu wa katiba hii anatakiwa kufanya mambo kwa maslahi ya nchi na ustawi wa wananchi. Mambo hayo yasipofanyika ni sawa na...
JK kuzuia/ kuchelewesha huduma kwenye majimbo ya upinzani
Kama JK alivyowaambiwa wabunge wa Chadema wakati akizindua Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano kuwa ndiye Rais na watatoka, watarudi...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Tumeona jinsi Rais na Makamu wa Rais pia Spika wakivunja baadhi ya masharti ya katiba yetu licha ya kula kiapo cha kuilinda, kuitetea, kuifuata, kuitii na...
wakuu,.........
niko katika kukamilsha article moja ya kupublish kwenye international journals ........................
nimeperuzi tovuti ya bunge nimekuta sheria nyingi sana pale za...
Gazeti la Nipashe linatuhabarisha ya kuwa watuhumiwa watano kwenye kesi ya wizi wa kutumia nguvu katika Benki ya NMB wameachiwa huru kwa kile kinachosemekana kukosekana kwa...
Salaam wakuu,
Naomba kama kuna mtaalaam mwenye desa la memorundum of association . Nataka kufungua company ndogo ya IT. Thanks in advance.
Email: supa.engineer@live.com
Gazeti la Majira limetuhabarisha ya kuwa ile kesi ya radar itaanza kusikilizwa kesho jijini London uingereza............Na hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa kesi hiyo kutajwa mahakamani...
Huko nyuma Mheshimiwa Sitta alishawahi kuzozana na Jaji Mkuu kuhusiana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya hakimu Mkaazi kule Manispaa ya Morogoro Mjini...............Kisa ni uchakachuaji wa...
Ukitaka kujua sifa za nchi ambazo haziendeshwi kidemokrasia kama hii ya kwetu utaona viongozi waliko madarakani hawapo tayari kuhojiwa na mahakama au chombo cho chote kile pale wanapofanya...
Wadau, dogo kaniuliza swali ambalo hata mimi limenigonga hivyo ningependa kupata ufafanuzi toka kwa wadau. Eti, pamoja na kwamba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndie anateua majaji lakini...
kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!!
Legislation Tanzania (Lexadin)
ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!!
Mbunge wa Mufindi Kaskazini, Joseph Mungai
Kesi ya kutoa hongo katika mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayomkabili aliyekuwa Mbunge wa Mufindi...
inakuwaje pale ambapo mtuhumiwa hakuandikwa maelezo polisi na akapelekwa mahakamani na katika proceeding akatoa hoja hiyo kuwa hakuandikwa maelezo yake na anaomba mahakama imwachie huru je anaweza...