Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
naomba mwanasheria yoyote anisaidie kunipa exact au walau estimates za gharama zake kama mwanasheria kwa kuandika memorandum na articles of association, ku-notarize na zote zingine zinazo apply...
Wana-JF
Nakumbuka, miaka ya nyuma, Serikali iliondoa kila aina ya kodi kwenye miradi ya nishati mbadala, ili kuhamasisha uwekezaji kwenye sekta hiyo. Hili lilitokea baada ya uhaba mkubwa wa...
Ningependa kuwauliza wanasheria, raia anapokamatwa na askari pasipo kufuata taratibu za kisheria, mfano kupigwa, kuhojiwa na kupekuliwa kabla ya kufunguliwa mashitaka, na baadaye ikagundulika...
Mimi ni mdau katika secta ya madini na nahitaji kupata soft copy ya sheria za matumizi ya baruti kwa ujumla wake kwani nimejaribu kucheki kwenye website ya wizara husika sijaipata so, naomba...
Nina mpango wa kuchukua hati ya nyumba yangu,sasa mke wangu anataka tuandikishe majina yetu wawili ili isomeke wamiliki ni familia,sasa nauliza je ikitokea mkaachana hatuombei ila imetokea...
Huyu Slaa naona anahitaji msaada wa wanasheria. hii jumuiya yenu inaheshimika na watanzania wote. zungumzeni ukweli. hali za watu wa vijijini na watu wengi wa mijini ni mbaya mno sote...
Wanajamvi
Napenda kujua nini tasfri au kama ni halali na ni sawa kisheria
Mtu aliyeteuliwa na rais/bunge akajiuzuru baadaye kutokana na uwajibikaji. Je rais/bunge ana haki uwezo wa...
What is the position of law for the company that is not trading to stay domant without filling annual returns and conducting annual general meeting as required by the companies act no 12 of 2002?
No judicial era - here in Arusha- invokes fear, dismay and despair than the judicial reign of Judge Ernest Mwipopo at the then Industrial Court of Tanzania. Most of sacked employees perceive...
Hili angalizo nimeona nilitoe mapema baada ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI, Bw. Mbatia, kuitishia Chadema kuipeleka mahakamani kwa madai ya fidia ya TSHS 3 bilioni kwa kile alichodai kudhalilishwa...
Mimi ni afisa wa serikali. si mjuzi sana wa mambo ya sheria. natatizwa na mikwara ya maafisa wa serikali wa ngazi za juu kupenda kutoa vitisho na kufanya vitendo vya kibaguzi au uonevu kwa...
A ZANZIBAR PROBLEM IS A CONSTITUTIONAL ONE.
(By Rutashubanyuma Nestory)
The Sunday Citizen editorial commentary of January 14, 2007 certainly took the Zanzibar problem by its horns when it...
Now it is official in Kenyan courts that the new dawn of automation has been embraced..........No more members of the Bar writing court proceedings....but presence of stenographers and...
KUTOKANA na wadhifa aliokuwa nao mtuhumiwa wa kesi ya usalama barabarani ya kukabiliwa na shtaka la kuua inayomkabili Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania, Protest Rugazia [56] jalaada linalohusiana...
Mwalimu machachari ambaye amekuwa akiisumbua tawala za CCm kuhusiana na utawala bora amejikuta kesi yake ya kumpinga JK asigombee Uraisi kwa kushindwa kuzuia ufisadi na hivyo kukiuka katiba...
UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31 mwaka huu unaweza kuingia mushkeli baada ya mkazi wa Dar es Salaam, Denis Maringo kufungua kesi ya kikatiba akihoji sheria inayozuia matokeo ya...
Wajumbe hii ilikuwa taarifa ya habari ya leo ITV; wameonyesha jinsi ambavyo serikali yetu inajali wazee wake wa tangu enzi hizo; mpaka sasa imefikia mzee kafariki kwa stroke wakati akifukuzwa na...
Kampala
Dr Kizza Besigye yesterday called for the resignation of the Director of Public Prosecutions and the Attorney General after the Constitutional Court ordered that he and 10 others...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.