Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
A COMPELLING CASE FOR A NEW CONSTITUTIONAL ORDER!
(By Rutashubanyuma Nestory- A public policy analyst based in Arusha.)
Anti new constitution forces are fondly of detonating dynamite...
HERE IS MY FRESH TAKE ON PROPERTY DIVISION AFTER CONCUBINAGE.
(By Rutashubanyuma Nestory A public policy analyst based in Arusha.)
A pithy monograph by columnist O.J Kaniki on Sunday...
Salaams Wanasheria,
Tafadhalini tena, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma.
Sijapata chuo...
The 2010 General Elections will be held on Sunday, 31st October, 2010. On 17th September, 2010 the National Electoral Commission (NEC) granted the Tanganyika Law Society (TLS) with Local Observer...
Katika toleo lilolopita mwandishi wa makala hii aliandika juu ya hatari ya kupata hasara kwenye kesi ya madai iwapo mwenye kesi husika asipokuwa makini katika kumchngua wakili ambaye ni mweledi...
I was able to download the New Tanzanian Labor Law in English from this forum. Kindly let me know where I can download the Tanzanian Labor Law Swahili version.
Thank you
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)
p { margin-bottom: 0.08in; }
Watu wanne wakiwemo maofisa wawili wa ofisi ya mizani mkoa wa Pwani, wanashikiliwa na...
MWALIMU Ally Msanga [39] wa Shule ya Msingi Makumbusho ya jijini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shitaka la kutaka kumuingilia...
Wakuu naombeni msaada kidogo kuhusu haya malipo wanayodai wanasheria pindi unapopeleka nyaraka zako waziidhinishe. Hivi, sheria inasemaje, ni halali kuwalipa kwa kazi hiyo, na kama ni halali ni...
Habari wakuu,
Naomba sana nipatiwe msaada wa sheria kwenye hili swala.
Hivi ikitokea mtu (Specifically mfanyakazi wa mochwari) amekamatwa na viungo vya binadamu, katika sheria ya makosa ya...
Mwenyekiti wa chama cha Sauti ya Umma (Sau), Paul Kyara (wa tatu kushoto), akitoka nje ya jengo la Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam na wakili wake Israel Magessa (kulia) baada ya kesi yake...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kufanya majaribio ya kuona ufanisi wa Vikosi vya Uokozi kwenye majanga mbalimbali yanayotokea kwa kuanzisha ajili za makusudi (au ishara za ajali). Mathalan...
DR. SLAA AFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMA KUU LEO
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa (pichani), amefunguliwa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaami...
Bila kujali utaifa wetu na hasa katika nyanja ambayo dunia nzima inatucheka kila siku kutokana na soka yetu kuwa hovyo, CCM kwa kuwa alihozi viwanja tulivyojenga sisi, anashindwa kufanya mikutano...
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika...
Afungwa jela miezi sita kwa kukaidi kuvua baraghashia mahakamani
Tuesday, 31 August 2010
Hadija Jumanne
MSHAURI wa baraza la kata Gongo la Mboto, anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua na...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani amewaonya wanasiasa wanaozungumzia kesi mbalimbali zilizopo mahakamani, katika majukwaa ya siasa. Jaji Ramadhani alisema kuzungumzia kesi ambazo bado...
Tunakumbuka jinsi JK alivyodai kwamba hazitaki kura za wafanyakazi wa Tanzania na kwamba hata kama wakigoma MIAKA NANE (8) wasingeweza kuongezewa mishahara! Lakini muda si muda JK pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.