Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba niulize Kama katiba yetu inaruhusu.
Nimesimuliwa namna mzee wangu alivotiwa umaskini na sera iliyoletwa ya maduka ya Kijiji na matokeo ya mzee akafirisika na kufunga duka.
Wengi...
Habari wakuu
Nahitaji ushauri wa kisheria yupo mzee mwenye umri miaka. 80 alitokea hali duni kifedha hadi kufanikiwa sasa miaka 10 ilipita alikuwa mkorofi, fujo tupu mama mzazi alimfukuza...
SABABU 3 ZA KISHERIA ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI
Na Bashir Yakub
+255 784 482 959.
Warithi halali ni pamoja na watoto wa marehemu na wake/mke wake halali. Kanuni ya 31 Sheria ya...
Hodi wana Jamii!!
Hebu tujikumbushe sheria au miswada ya sheria iliyowahi kupitishwa na bunge let tukufu, lakini haijawahi kufanya kazi licha ya rais kuipitisha.
* kuvuta sigara hadharani
*...
naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani...
Jamani naomba msaada nimepeleka mashitaka yangu kwa mkurugenzi juu ya uonevu na manyanyaso lakn badala yake nikahamishwa kituo cha kazi. Mkurugenzi amebadilishwa ila na huyu mwingine nimempelekea...
Habari ya saiz wana jamii.
ninaomba msaada wa kisheria katika hili.
je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho.
1. je ni kwamba ni...
Haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa ahadi ya kuoa/kuolewa (ndoa (Right to damages for breach of promise of marriage)
Kifungu cha 69 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kinatoa haki kwa wapenzi...
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.
Ila kuna kila...
Kawaida watu wakitalakiana wanagawana mali walizochuma.
Ikiwa mali izo zilipatikana baada ya mmoja kuchukua mkopo binafsi benki na bado anadaiwa.
Je wawili hawa wanaweza kugawana deni la mkopo...
Bila shaka dunia nzima iko na habari kuhusu ubunge na ugonjwa wa Tundu Lissu. Dunia ana habari kuhusu kilichomtokea Lissu na mahali alipo hivi sasa.
Baada ya Lissu kuvuliwa ubunge na Lissu kwenda...
Ndugu zangu, kuna deni naidai shule. Nili- supply vyakula na maktaba ninao. Lakini kabla sijaenda mahakamani ningependa nianzie kwenye vyombo vya usuruhishi. Sababu ningependa swala hili...
Wasalamu.
Tuanze na assumption. Assume umeokota kiroba cha pesa chenye vibilioni kadhaa (1, 2, 3 ....), halafu ukaamua kutokuwa muungwana na kuziripoti police, tofauti kabisa na alichokifanya yule...
Habari zenu wana JF, ningeomba msaada juu ya hili swala kwa wataalam, mimi nimeapply chuo cha UDOM mwaka huu kupitia internet cafe, cha kushangaza jana nimejaribu ku-sign in naambiwa wrong...
Wadau naombeni mwongozo wa taratibu za kufuata kisheria ili nihamishe umiliki wa kiwanja toka kwa mtu aliyeniuzia ambaye ana ofa tu na mwingine ana hati kamili ya kiwanja.Ni taratibu gani napaswa...
Msaada; nahitaji passport ila sina cheti cha mzazi hata mmoja cha kuzaliwa kwani walifariki nikiwa mdogo sana chini ya miaka mitano. Nifanyeje ili niweze kufanikisha lengo?
Kwanini tuna makosa ambayo hayastahili dhamana Tanzania?,wakati upande wa mashtaka una uwezo wa kuishawishi mahakama kwamba huyu mshtakiwa asipewe dhamana kwasababu ya jambo hili,hili na hili...
My Noble people, (JF)
Ikiwa Taifa letu ni moja ya nchi yenye kufuata demokrasia na mfumo wa vyama vingi tangu mwaka 1992, Baada ya ukusanyajwi wa maoni / mapendekezo ya mfumo gani wa kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.