Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba niulize Kama katiba yetu inaruhusu. Nimesimuliwa namna mzee wangu alivotiwa umaskini na sera iliyoletwa ya maduka ya Kijiji na matokeo ya mzee akafirisika na kufunga duka. Wengi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu Nahitaji ushauri wa kisheria yupo mzee mwenye umri miaka. 80 alitokea hali duni kifedha hadi kufanikiwa sasa miaka 10 ilipita alikuwa mkorofi, fujo tupu mama mzazi alimfukuza...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Hebu msikilize huyu mama (dada) anasema hapewi tendo sababu mume anarudi hoi - Je sheria ya ndoa inasemaje? ana haki ya kufungua kesi ya madai?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
SABABU 3 ZA KISHERIA ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI Na Bashir Yakub +255 784 482 959. Warithi halali ni pamoja na watoto wa marehemu na wake/mke wake halali. Kanuni ya 31 Sheria ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hodi wana Jamii!! Hebu tujikumbushe sheria au miswada ya sheria iliyowahi kupitishwa na bunge let tukufu, lakini haijawahi kufanya kazi licha ya rais kuipitisha. * kuvuta sigara hadharani *...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada nimepeleka mashitaka yangu kwa mkurugenzi juu ya uonevu na manyanyaso lakn badala yake nikahamishwa kituo cha kazi. Mkurugenzi amebadilishwa ila na huyu mwingine nimempelekea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya saiz wana jamii. ninaomba msaada wa kisheria katika hili. je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho. 1. je ni kwamba ni...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa ahadi ya kuoa/kuolewa (ndoa (Right to damages for breach of promise of marriage) Kifungu cha 69 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kinatoa haki kwa wapenzi...
7 Reactions
135 Replies
19K Views
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja. Ila kuna kila...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Kawaida watu wakitalakiana wanagawana mali walizochuma. Ikiwa mali izo zilipatikana baada ya mmoja kuchukua mkopo binafsi benki na bado anadaiwa. Je wawili hawa wanaweza kugawana deni la mkopo...
2 Reactions
1 Replies
947 Views
Bila shaka dunia nzima iko na habari kuhusu ubunge na ugonjwa wa Tundu Lissu. Dunia ana habari kuhusu kilichomtokea Lissu na mahali alipo hivi sasa. Baada ya Lissu kuvuliwa ubunge na Lissu kwenda...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, kuna deni naidai shule. Nili- supply vyakula na maktaba ninao. Lakini kabla sijaenda mahakamani ningependa nianzie kwenye vyombo vya usuruhishi. Sababu ningependa swala hili...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Wasalamu. Tuanze na assumption. Assume umeokota kiroba cha pesa chenye vibilioni kadhaa (1, 2, 3 ....), halafu ukaamua kutokuwa muungwana na kuziripoti police, tofauti kabisa na alichokifanya yule...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, ningeomba msaada juu ya hili swala kwa wataalam, mimi nimeapply chuo cha UDOM mwaka huu kupitia internet cafe, cha kushangaza jana nimejaribu ku-sign in naambiwa wrong...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau naombeni mwongozo wa taratibu za kufuata kisheria ili nihamishe umiliki wa kiwanja toka kwa mtu aliyeniuzia ambaye ana ofa tu na mwingine ana hati kamili ya kiwanja.Ni taratibu gani napaswa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada; nahitaji passport ila sina cheti cha mzazi hata mmoja cha kuzaliwa kwani walifariki nikiwa mdogo sana chini ya miaka mitano. Nifanyeje ili niweze kufanikisha lengo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini tuna makosa ambayo hayastahili dhamana Tanzania?,wakati upande wa mashtaka una uwezo wa kuishawishi mahakama kwamba huyu mshtakiwa asipewe dhamana kwasababu ya jambo hili,hili na hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My Noble people, (JF) Ikiwa Taifa letu ni moja ya nchi yenye kufuata demokrasia na mfumo wa vyama vingi tangu mwaka 1992, Baada ya ukusanyajwi wa maoni / mapendekezo ya mfumo gani wa kisiasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…