Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge?
Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo...
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan...
Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya...
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
Wanabodi,
Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki".
Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi...
Sote tunaona!
Kwa hali ilivyo sasa, endapo hatujapata Katiba Mpya sasa inayowawekea Viongozi wa kisiasa speed governor huku ikiweka nguvu kubwa kwenye mifumo ya nchi kuendesha na kuamua masuala...
Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka...
Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki...
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia...
Mheahimiwa, inatosha. Utakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani.
1. Utawapa meno na uthibitisho...
Kupitia dini hizi mbili nyemelezi yaani uislamu na ukiristo:
1. Waafrika waliuzwa utumwani kwa ushirikiano wa waarabu na wazungu.
2. Afrika ilitawaliwa kikoloni,
3. Majina na mila za kiafrika...
Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema.
Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi...
Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa
Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, licha ya kuwa msingi wa utawala na sheria nchini, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zimeibua mijadala kuhusu umuhimu wa...
Nitoe pole kwa familia ya mkuu wa ICT wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya kwa msiba wa kusikitisha na ulioacha majonzi.
Kabla ya kuwa na katiba mpya wapinzani na pengine wengi wa wananchi wa Kenya...
Wanabodi,
Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!.
Angalizo la Alama ya Kuuliza "?".
Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya...
Habari wakuu.
Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na...
Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna...
Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu:
1. Mipaka ya Madaraka ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.