KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge...
36 Reactions
263 Replies
74K Views
Msitunyonye bana nyie! Msitunyonye mnatudhiri! Tuachaneni angalau tujikung'ute kidogo! Tumekuwa mafukara; mtu mwenye miaka kumi na tatu amepinda mgongo kama mtu wa miaka sabini na tano! &#8230...
50 Reactions
357 Replies
35K Views
Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano. Ninawasihi watu wa...
29 Reactions
753 Replies
53K Views
Wanabodi, Sisi wengine wenu humu, japo tuna vyama toka ndani ya mioyo yetu, CCM kimeoza kwa rushwa na ufisadi, from top to bottom, left, right and center hadi kwenye shina lake!, huku hakuna...
29 Reactions
56 Replies
10K Views
Wanabodi, Ili kuyachambua kwa kina yaliyojiri Zanzibar objectively, naombeni sana tutumie "nguvu za hoja" na sio " hoja za nguvu". Nilitamani topic hii ningeianzisha kule jukwaa la "great...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa mchakato huu wa kuandika katiba mpya (kubadilisha katiba) ungetakiwa uanze kwa mjadala wa kitaifa na kisha kura ya maoni - referendum- (badala ya tume...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Uhalali wa Bunge la Katiba Bila Hati halisi ya Muungano Wajibu wa Vijana kwa Taifa ni Kuleta Tija kwa Taifa na Kuwezesha Vijana wengine wasio na fursa kulinganisha na fursa tulizo nazo. Wajibu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Salaam, wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Shida kubwa katika hi nchi ni ufisadi uliyokithiri Kwa watumishi wa umma Kama kweli tunataka Tanzania mpya kupitia katiba mpya basi lazima iwekwe Sheria ya kunyonga mafisadi Kila mwaka tutakuwa...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi amejibu baadhi ya hoja za watu wanaopendekeza muundo wa serikali mbili na kusema Serikali ya Zanzibar ndiyo iliyoanza...
9 Reactions
75 Replies
14K Views
Kwasababu wanatuoana sisi ni nyani
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Yes
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanabodi, Nimeangalia Taarifa ya habari ya ITV, saa 5:00 usiku huu, kiukweli Nimekubali Matokeo!, UKAWA Kanda ya Ziwa ni Noma!, hii combination ya JJ. Mnyika na Salum Mwalimu, ni combination ya...
11 Reactions
71 Replies
22K Views
Back
Top Bottom