KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe...
17 Reactions
200 Replies
10K Views
Kama Watanzania hawaijui katiba, basi hakuna haja ya kuwa na Serikali, hakuna haja ya kuwa na Bunge wala hakuna haja ya kuwa na Mahakama. Turudi kwenye utawala wa jadi ambao haukuwa na katiba...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Nisingependa niandike mambo mengi, Watanzania mnaoishi nchi hii kwa sasa hata wale mliotangulia mbele za Haki kama mnaweza soma andiko hili jitokezeni mseme ni nani anaweza jitokeza akapambana...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Akifungua mkutano maalumu wa Baraza la Vyama vya Siasa leo hii trh 11/9/2023, Rais Dkt Samia amesema kuwa Katiba mpya ni Mali ya Watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini na wasio...
1 Reactions
5 Replies
771 Views
Inashangaza na kuchukiza kusikia Eti Wananchi wa Nchi hii Hawaijui KATIBA ya NCHI yao. Wenye AKILI KUBWA TULISEMA Mapema kuwa CCM haitaki WATANZANIA wapate KATIBA MPYA .Dalili za KUKATAA zilianza...
5 Reactions
9 Replies
806 Views
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato. Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania...
3 Reactions
16 Replies
670 Views
Huo ndio ukweli. survival ya Ccm inategemea katiba mbovu waliojifungia wenyewe wakaiandika. Leo wamekiri wenyewe kupitia mwenyekiti wao kuwa watu hatuijui katika ya sasa (japo twaijua). CCM...
2 Reactions
8 Replies
631 Views
Siyo rahisi Watanzania kusubiri kuelemishwa kuhusu katiba. Wengi wetu tunajijua.....yaani tuache Ajira ya kubeti kweli. Kama ni kusubiri Kila mmoja kuelewa katiba basi ccm watatawala milele. Basi...
2 Reactions
1 Replies
276 Views
UKAWA walisusia Bunge la Katiba 2014 wakiwa wameshatia mfukoni kodi za Walalahoi wa nchi Swali ni: Kama Katiba Mpya haiwezekani hadi Wananchi wote waelimishwe ilikuwaje UKAWA na ile Tume ya...
1 Reactions
7 Replies
699 Views
Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya...
3 Reactions
6 Replies
582 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili...
15 Reactions
62 Replies
6K Views
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema akimaliza mkoa wa Mara kituo kinachofuata ni Kanda ya Nyasa na wataanzia Mbeya kwa Wakili Msomi Mwabukusi kisha wataendelea Songwe kwa mh Mdude, Rukwa...
4 Reactions
5 Replies
540 Views
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati. Kwa mfano...
0 Reactions
8 Replies
683 Views
Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm. Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya...
2 Reactions
14 Replies
711 Views
Kama nakumbuka vizuri Vuguvugu lililokuwepo 1980s la hawa Nccr na Kamahuru lilikuwa ni la kudai Katiba Mpya kwanza ambayo ndani yake ndio itaruhusu mfumo wa Vyama vingi Vya Siasa. Lakini Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Back
Top Bottom