KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wananchi Wezangu, Nami leo ninapenda kutowa maoni yangu, ingawaje sidhani kwamba jaji Warioba na kundi lake watayasikia maoni haya. Kwanza ningependa kuyapa uzito maoni yangu kwa kuweka hii map...
5 Reactions
70 Replies
8K Views
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ( ZMBF), Mama Mariam Mwinyi amekutana na aliyewahi kuwa Waziri wa nishati na madini wa Oman Dk. Mohamed Bin Hamad...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Kuna haja ya kuweka serikali zaidi yamoja? Huu si uharibifu wa mali za uma na tamaa za madaraka? Haja ipi ambayo inasababisha hasa kuwepo kwa serikali zaidi ya moja ndani yanchi moja? Amini...
1 Reactions
6 Replies
750 Views
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
  • Poll Poll
Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka...
3 Reactions
18 Replies
824 Views
Mitazamo ya CCM na CHADEMA kuhusu mapendekezo ya mfumo wa serikali kwenye Rasimu ya katiba mpya inafanana kabisa. wote wamelenga maslahi ya vyama vyao na si maslahi ya wananchi. Kila chama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA. Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande...
1 Reactions
848 Replies
64K Views
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema...
18 Reactions
95 Replies
8K Views
Wanabodi, Huku mivutano kuhusu muundo wa muungano ukiendelea, nimefazifanyia tathmini ndogo kero za muungano kwa pande zote, nikajiridhisha pasi shaka, kuwa Jaji Warioba yuko very right!, muundo...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu. Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na...
28 Reactions
98 Replies
6K Views
Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta...
1 Reactions
2 Replies
749 Views
Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni? Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni. Katiba mpya...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Tunashukuru Rais wetu Mtukufu ameridhia hitaji la katiba mpya . Na itapendezwa zaidi Rais atakapong'olewa baadhi ya meno kuepusha utawala wa kibabe Binafsi baadhi ya mambo ambayo natamani yawepo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa...
3 Reactions
193 Replies
21K Views
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto! Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda...
5 Reactions
98 Replies
10K Views
Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao...
3 Reactions
43 Replies
10K Views
J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom