natanguliza shukrani kwenu wanajf, shida yangu ni kutaka kuelewa mchakato wa katiba mpya.kwanza naomba nikubali nilikuwa nachukia sana siasa lakini baada ya kuelimishwa sasa napenda kufuatilia...
Watz wengi wanaongelea kuhusu Katiba mpya, lkn kitu muhimu kuliko vyoote ambacho wamekisahau au hawakukijua na walipaswa kukipigania kwa hali na mali ni kwamba Ni lazima iwekwe kisheria...
Mahudhurio hafifu kwenye vikao vya kamati kwenye BMK ni akisi ya Tabia wanayoifanya kwenye Bunge lile la JMT. Wajumbe wasisingizie kushuka morali au kutokuwepo kwa UKAWA, hii ni tabia yao Sugu...
Yaani wandugu nawashangaa sana wale ambao walikuwa na tamaa kuwa kaimati za CCM zitaponda wajumbe wake wanaoshiriki Bunge la Katiba na kuuponda mchakato mzima hivyo kupendekeza uahirishwe hadi...
Baada ya chama tawala kubariki kuendelea kwa Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, suala lililobaki kuendelea kujadiliwa ni uwepo au kukosekana kwa akidi ya kupitisha kifungu kwa kifungu Rasimu ya...
Ndugu wadau,kunajambo limenifanya niwe sensitive sana na uoga pia umeniingia. Jambo lenyewe ni hofu ya baadhi ya wananchi(hasa humu jamii forum nkiamini nkama sample inayowakilisha mtazamo wa...
Huo ni ushauri wangu kwa Wazanzibar wote, kama wakikubali Serikali mbili za CCM ambazo hata kwenye rasimu hazipo. Wasije kulia kutawaliwa na mafisadi wa Tanganyika, Maana Tanganyika wamefisadiwa...
Nape nauye amesema theluthi 2 ya zanzibar ipo.hakuna tatizo lolote litakolosimamisha bunge maalum la katiba sababu kisheria colum imetimia ila kuna tatizo kisiasa sababu pawe na maridhiano pande 2...
WANANCHI wa Dar es Salaam wanapendelea zaidi Muungano wa Serikali Moja kuliko wananchi wengine wa Tanzania Bara na Zanzibar, imefahamika.
Kwa mujibu wa utafiti wa karibuni zaidi maarufu kwa jina...
Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana akitoa taarifa katika kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, mjini Dodoma juzi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Rais Ali Mohamed Shein, Rais Jakaya...
Makala ya Johnson Mbwambo wa Gazeti la Raia mwema Toleo la 366 13 Aug 2014
WIKI hizi nafarijika kwamba baadhi ya mambo niliyoyaandika huko nyuma katika safu hii na kupingwa vikali katika...
BUNGE Maalum la Katiba linaoendelea Dodoma kwa mwendo wa kiguru cheche (kuchechema) sasa limegeuzwa na watu wengi wa Zanzibar kuwa mada kubwa ya kufanyiwa kila aina ya mzaha na dhihaka.
Hii...
... Baada Ya Maamuzi Ya Cc Ya Ccm Kuonyesha Hakuna Dalili Ya Kujali Maridhiano Kwa Manufaa Ya Wanainchi. Na Kwakuwa Hakuna Dalili Ya Kupata Katiba Nzuri Ya Wanainchi Bali Ya Chama Chao, Na Kwa...
Wanajamvi,
Ni wazi kabisa wenzetu wa Lumumba sasa wanaumbuka kwani walichokikataa kwenye rasimu ya Warioba bado kinawasumbua kwenye muundo wa bunge,wengine wakisema pawepo na mabunge matatu la...
Kwa mtanzania yeyote makini, mjadala unao endelea sasa juu ya utungaji wa katiba mpya siyo tu kwamba unakatisha tamaa, bali pia unaonyesha ni kwa kiwango gani unafiki umekidhili hapa nchini...
It is arguably the key question facing Tanzanian politics in the short term: does CCM have the numbers? Can they ignore the opposition, and force their will upon the next draft of Tanzania's...
Baada ya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM kubariki kuendelea kwa mchakato wa katiba bila maridhiano,huku wakitumia nafasi hiyo kutupilia mbali maoni na vilio vya wananchi vya muda mrefu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.