Hivi kweli Mheshimiwa Sitta kutoka katika uvungu wa moyo wako unaweza kweli kudai hapo dodoma mnatengeneza katiba mpya ya watanzania wote? Hivi ni kweli katika mijdala yote inayoendelea hakuna...
Bunge la Katiba likiahirishwa hadi baada ya uchaguzi kutakuwa na hasara zifuatazo
1.Pesa za walipa kodi zitakuwa zimepotea bure
2.Uwezekano wa kupata pesa zingine za kugharimia zoezi hilo kwa...
Kwa ufupi
*".Sisitunao wabunge na wawakilishi kutoka Zanzibar wa vyama vyetu na hawakwenda hata kwenye vikao, tukiwajumlisha tunahitaji watu 14 kutokana na wale wajumbe 77 (wa Zanzibar) wa Kundi...
Kinachoendelea kujadiliwa katika kamati za bunge la katiba hivi sasa ni masuala ya Tanganyika (Tanzania Bara)! Si masuala ya muungano! Masuala haya ya ardhi, wakulima, wafugaji nk hayahusu kabisa...
Ni nia ya wazi iliyoonyeshwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (waliomaliza mkutano wao hapa Arusha hivi punde).
Nia hiyo inalenga kupata tamko la kimahakama juu ya madaraka ya BLK kuhusu...
Kamati tano kati ya saba za Bunge Maalumu la Katiba zimejikuta katika njiapanda ya kushindwa kufanya maamuzi kutokana na kukosekana kwa akidi kwenye vikao vya kamati hizo. Kwa mujibu wa mjumbe...
Katika mapendekezo ya CCM kuhusu katiba mpya wanasema wanataka serikali 2 zilizoboreshwa na sehemu ya maboresho hayo ni bunge la Jamhuri ya muungano kuwa na bunge la Tanganyika ambalo litajadili...
Wana JF
Swala la urai pacha naona linashindwa kuchukuliwa kama sehemu nzuri kwa serikali kuweza kujipatia mapato.
Japokuwa wajumbe wa bunge la katiba wametofautiana katika swala hili, kwa maoni...
Kama kweli sheria hairuhusu mtu ye yote kusimamisha bunge la katiba akiwemo rais, je busara tulizopewa bure na Mwenyezi Mungu haziwezi kutumika?!
Ni dhahiri kuwa 2/3 haitapatikana ili kupitisha...
Kwa hali ilivyo sasa ni ndoto ya mwendawazimu kupata katiba mpya achilia mbali iliyo bora,tatizo ni pale wajumbe walio wengi walipokataa mapendekezo ya tume( wana haki).kwa maini Yang rasimu...
Serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar inayoundwa na CCM na CUF inataka serikali mbili ambazo ndizo zinawapa raha ya kula katika muungano.Kususa kwa wanzazibari hasa CUF ni kuhakikisha theluthi...
Inakuwaje Serikali ya Muungano inawalipa Mawaziri na wengine serikalini wasiohusika na Mambo ya Muungano ? Huu kama si upumbavu na wizi wa kuiibia serikali ya Muungano kuwalipa Mawaziri...
Ametoa agizo hilo leo Iringa katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ngalalekumtwa katika kanisaa katoliki Iringa. Amesema ukawa lazima wahakikishe wanarudi bungeni kujadili.katiba na kusisitiza...
Hili suala linatakiwa kuangaliwa kimapana zaida,ila je wapenda madaraka watakubaliana nalo?
SUALA la mawaziri kuwa wabunge au hapana, limezua mjadala mkali katika vikao vya kamati mbalimbali...
Ndugu zangu,
Alfajiri ya leo kupitia vituo vya redio vya Kwanza Jamiina Nuru FM nilishiriki kuongoza mjadala uliotokana na yaliyomo kwenye magazeti ya leo.
Habari kubwa ilikuwa ni UKAWA...
Wadau, amani iwe juu yenu.
Mtakumbuka kuwa Jumanne tarehe 12 Agosti 2014, viongozi wa UKAWA walitoa tamko la pamoja lililosomwa na James Mbatia la kumtaka Rais kuvunja Bunge Maalum la Katiba...
Viongozi kadhaa waandamizi wa Ukawa wamekataa katakata kumjibu Augustino Matefu anayejiita Mwenyekiti wa Kikundi kinachojiita Tanzania Kwanza.
Viongozi hao walihojiwa jana kutaka kufahamu kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.