Mchumi Dr Blasius Kahyoza amechambua uhitaji na umuhimu wa katiba mpya kwa kigezo cha uchumi, mambo muhimu katika mtazamo wake ni;
Moja, Hoja ya gharama kubwa kutengeneza katiba mpya ni ukosefu...
Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani.
Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa...
Kwa ufupi;
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Juma Ali Khatib amevitaka vyama vya siasa kuacha kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya na kutishia kufanya...
Nimetafakari sana juu ya watanzania waliotoa maoni ya ya kuundwa katiba mpya mwaka 2012 na ushirikishwaji wa makundi yote ya kijamii.
Kuanzia mwaka 2015 kuna ongezeko kubwa la wasomi na vijana...
Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili, Amani na Haki, tuliongoza...
Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake...
Ilianza hakuna Katiba Mpya
Mara ikaja ya Warioba ikaishia njiani
Mara ikaja wacha tujenge nchi kwanza.
Naona kabisa tunaelekea maana itafika hatua tutakosa cha kusema zaidi ya kuandika iyo...
Ndugu zangu,
Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda".
Leo Rais Samia Hassan...
Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan, ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo na siku njema huonekana asubuhi.
Wewe ni Rais wetu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa...
Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya
By Mgongo Kaitira
Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya...
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?
Ameenda mbali zaidi na...
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.
1. Serikali ya mababvu.
2. Teknolojia.
3. Mungu.
Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa...
Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye...
Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba.
Rais aliyepita Magufuli alitufundisha...
Huku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
Kila linapoletwa ubaoni na mezani suala la Katiba mpya, wanaCCM huwa mbele kuvuruga kwa kelele kupiga. Katiba ya sasa ya Tanzania iliandikwa mwaka 1977, takribani miaka 44 iliyopita. Katiba hiyo...