Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu...
Kutokana na CHADEMA kutangaza kupitia kwa Mnyika kuwa watu watoa mapendekezo ya akina nani watawakilisha CHADEMA kwenye tume katiba mpya, mimi napendekeza hawa.
1.Tindu Lissu-Huyu ni mtaalum wa...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema .
Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba...
Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa.
Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa.
Mlalamikaji na...
"Katiba tuliyo nayo imeakisi misingi ya Wakoloni wetu sio Utamaduni wetu. "
Prof. Mahalu
"Katiba ya Sasa ilizingatia usalama wa Nchi na maendeleo kwa wananchi wake"
Prof. Lipumba
"Afrika Kusini...
Kampeni za Uchaguzi 2025 zitatawaliwa na wapinzani kuahidi kuleta Katiba Mpya mara watakaposhinda! Kwa sasa WaTanzania wanataka Katiba Mpya na kumfunga Mbowe kunachochea Zaidi mjadala huo.
Kwa...
[emoji1318]
WAKUU,
KUNA IDEA KUNTU SANA NIME_DEVELOP HAPA-
KWENYE HII KATIBA YETU MPYA AMBAYO MAZA AMESEMA TUJADILIANE NAYE NA PIA TUMPE MUDA,
MUDA UKIFIKA MASELA TUNG'NG'ANIE KIPENGELE CHA...
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa...
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya...
Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na...
Mkuu wa wilaya ni mteule wa Rais
Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani.
Ukifuatilia kilio cha aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya kuanzia Ijumaa hadi leo...
Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961
Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu.
Mwaka 1962 waliteuliwa...
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa...
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki...
Wana-CHADEMA,
Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa!
Kwa sababu...
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia.
Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa...
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania
WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021
Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu...
Mwenyekiti wa CCM, Samia alisema, katiba mpya isubiri kwanza. Angalao yeye hakusema kuwa katiba mpya siyo muhimu na wala hakusema siyo hitaji la wananchi.
Lakini ukimsikikiza Shaka na Chongolo...
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya vuguvugu la madai ya Katiba Mpya sambamba na kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na pande mbili zinazosigana kuhusiana na swala hili la Katiba Mpya.
Hebu...
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.