KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa. Prof Shivji amesema wanasiasa...
8 Reactions
149 Replies
10K Views
Mchakato wa katiba bado unaendele na huu ni ujumbe wangu kwa leo. 1.CCM na UKAWA,mbona mwazidi vutana ?. Bado mambo hayajawa,mnaanza kamatana. Mtaweza kutugawa,na nchi mtaichana. Tusitumie...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha...
9 Reactions
251 Replies
15K Views
Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba...
3 Reactions
3 Replies
787 Views
Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakika haiingi akilini kuona viongozi wa CCM ndio wako na vipaza sauti wakipinga Upatikanaji Wa Katiba Mpya kwa kisingizio cha tunajenga uchumi na eti Wananchi wanataka Elimu Maji na MaDawa ujenzi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo. Bavicha inaendelea na makongamano nchi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi. Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana. Ila nikasema...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Vijana ndio dhamana ya ccm Alphonce Muyinga ( Alphanga black) akiwapa nasaa vijana wenzake wa jimbo la Ushetu katika uchanguzi mdogo utakao fanyika tarehe 9/10/2021
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo katika hatua ya mwisho sasa kufanya maamuzi magumu kama hamtaniunga mkono basi nitaandamana peke angu potelea pote. Ninafadhaika sana kuona nchi yenye maliasili zakutosha lakini tangu uhuru...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wana bodi, Katika pita pita zangu niki tazama hali ya siasa nchini ikiwemo kesi inayo mkabili Freeman Mbowe na mbinu zinazo tumiwa na wana CHADEMA kudai katiba mpya, nime jiuliza maswali ambayo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa Sasa Ni ndoto ya wachache Ila kwa sehemu kubwa Ni kero kwa wanufaika. Watatakaje katiba mpya wakati wananufaika? Watatakaje katiba mpya wakati wanaona Raha na kufurahia tu madaraka...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom